Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuuu sheria za uchukuzi naweza kupata wap nataka nijikumbushe kidogo, mshana jnr naomba na zile alama za barabarani nafikiri ulizituma hapa kipindi cha nyuma..
 
Wakuuu sheria za uchukuzi naweza kupata wap nataka nijikumbushe kidogo, mshana jnr naomba na zile alama za barabarani nafikiri ulizituma hapa kipindi cha nyuma..
Utaweza ufike hapa chuo cha usafirishaji mabibo?
 
Wakuu IPI gari bora imara Na ulaji wa mafuta kati ya Toyota klugger Na harrier 240G?
 
Habari zenu wakuu, Jamani nimepoteza ufunguo wa Nissan Micra ambao una sensor, sasa gari haliwezi kuwaka kwa sababu mpaka ufunguo wenye sensor pekee ndio unaweza kuliwasha. Nimejaribu kufuatilia kwa mafundi ili nione uwezekano wa kubadilisha control box ili niweke ya Nissan March lakini sijapata fundi anaenishauri vizuri. Naombeni Msaada kama kuna mtu anaweza kunitegulia kitendawili hiki kwani kwa sasa inabidi nitembee kwa miguu wakati usafiri ninao.

Asanteni
 
Achana na mengine yote ingia mtandaoni search aina ya gari weka tatizo lako hapo utasaidika kwa uhakika zaidi
 
mkuu 0717228064 tutafutane yote yanawezekana kufunga control box nyingine au kukuchongea funguo nyingine yenye sensor wapatikana wapi hata kama upo mkoani utafuatwa tuu.tutafanyiana bei za ki JF zaidi
 
haya fanya hivi nenda kwenye kila mlango shusha kioo mpaka chini then pandisha mpaka juu harafu hold switch kwa kupandisha juu kama sekunde 10 hivi taa iliyopo kwenye switch ya kupandishia kioo itaacha kublink,flush.hamia kwenye mlango mwingine mpaka umalize yote kasoro wa dereva tuu.

then nirushie jero ya vocha
 

Nimeipenda hyo Mr Lege, hivi unapatikana wapi vile?
 
Andaa m2-2.5 kuna jamaa anaitwa Makufuli yuko mtaa wa Rwegasore mwanza wanakuagizia funguo mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…