Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kati ya hizo zote uzoefu Wangu uko kwenye IST hiyo naweza kukushauri uchukue
 
Kati ya hizo zote uzoefu Wangu uko kwenye IST hiyo naweza kukushauri uchukue
Mshana,belta na ist zote zinatumia engine moja ya 1NZ FE. Angalia list ya magari inayotumia engine hiyo

Ok ok kwakweli hili nilikuwa silijui
 
Asante sana Mshana kwa maelezo yako murua kweli itabidi niopt Ist pia kwa manufaa yangu nawengine unaweza saidia faida na hasara ya Ist cc 1290 na Ist cc 1490
 
Asante sana Mshana kwa maelezo yako murua kweli itabidi niopt Ist pia kwa manufaa yangu nawengine unaweza saidia faida na hasara ya Ist cc 1290 na Ist cc 1490
Tofautisha ipo kwenye fuel consumption tu vitu vingine vyote ni kama vinafanana
 
chukua premio mkuu powa zaidi
 
Kwa Kua unahitaji gari ya kuitumia pamoja na Familia angalia Ile yenye room ndani, ambayo ni comfortable... Raum itakufaa zaidi. Lakini IST ni nzuri pia na haito kusumbua pindi ukiamua kuachana nayo.
 
KUNA HII HAPA WAWEZA CHECK Premio inauzwa
 
Habari zenu,

Kwa wale ambao mnahitaji magari kutoka japan, south africa na u.k (especially used though ikiwa unahitaji hata brand new inawezekana)

Ikiwa unahitaji gari kutoka nchi tajwa hapo juu, tafadhari karibu tuzungumze, unipe order yako.

Nitakuletea gari/magari unayohitaji yenye ubora wa hali ya juu kwa bei tutakayo kubaliana.

Unaweza kuniandikia kupitia e-mail hii

ecarstanzania@gmail.com

Ikiwa upo tayari, karibu tuwasiliane!
 
Fungua mlango wa dereva kwenye ukingo wa mlango karibu na lock kuna sticker imebandikwa ina recommended tyre size ya gari yako
Nashukuru mkuu,ila nikijuwa nahitaji kujua aina ya tyre mf:yokohama,yana,king rion n.k ipi ni nzuri na kwa bei reasonable..
 
Weka tairi imara achana na ulinganifu wa bei, angalia njia/barabara unayotembea macorrogation yaliyopo, ndio yakupe chaguo la tyre husika.
Kwa siku natembea km 40, nusu ni lough raod,nusu nyingine ni lami,je ni tyre gani zinafaa?
 
Nikijaza wese wakati gari ipo switch on gauge haipandi kwa nini wadau? Hii kitu imenitokea mara ya pili sasa na gari tofauti tofauti
Baada ya muda itapanda tu ni bora ukiwa kituoni ukalizima gari ni ushauri kwa vituo yote
Kumbuka ndani ya tank kuna boya linasoma na hutumia electronic au mengine ya zamani umeme wa gari kwa hiyo mpaka linyanyuke na kutuma mawasiliano
 
Ni gari aina gani?
Hizi control power window zinazokaa kwenye mlango wa dereva nazo huwa zinapata shot ya umeme kwa kuchezea vibaya au namna yoyote ile mpelekee fundi umeme wa magari akakiangalie huenda akafanikiwa au kukibadili betri kubadili si tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…