Unamaanisha push to start? Kwenye battery basi check mfumo nzima huenda kuna loose connection. Pata fundi wa uhakika wa umeme akuangalizie
Mkuu nisikudanganye mimi ni fan tu wa magari sio fundi wala nini ila uzoefu wa muda mrefu tu kubaidi shida inaweza kuwa nini. Mwisho wa siku fundi mhusika ndio atasema tatizo hasa ni nini.Nakushukuru sana Kiongozi, wewe umebobea upande upi kiongozi.
Mechanics or electrical?
Hakuna muda maalum bali ikishaanza kuchoka inabidi kubadili
Dalili ya kwanza ukiachana na ishu ya terminals unapowasha gari kuna kusinzia fulani hivi
Hapana msinzio wa low battery unajulikana lakini Inategemea pia na uzoefu wako kwenye magariMkuu mm niliwahi hisi hilo lakini haikua hivyo. Gari ilikua inawaka baada ya sekunde 3-6, nilihisi battery kumbe mafuta yalikua mabaya.
Labda vipimo vile vya computer vinaweza gundua
Hapana msinzio wa low battery unajulikana lakini Inategemea pia na uzoefu wako kwenye magari
Subaru Forester itakufaa sana mkuu,luggage compartment ni kubwa, watu watano mnakaa comfortable. Inahimili safari ndefu na barabara zote.....Mshana Jr binafsi sijawahi kumiliki gari ila imefika wakati nahitaji kununua kwa ajili ya matumizi ya familia hapa mjini na Mara moja moja kwenda likizo kutoka mbeya kwenda kahama naomba ushauri kati ya gari hizi IPI itanifaaa Ist cc 1299,Toyota belta cc 1290,Toyota premio cc 1490,corolla axio cc 1490 na Toyota raum,ipi itanifaa zaidi ?
ivi hizi subaru legacy b4 kwenye spidi zinaweza ikaribia forestaSubaru Forester itakufaa sana mkuu,luggage compartment ni kubwa, watu watano mnakaa comfortable. Inahimili safari ndefu na barabara zote.....
Ninatumia forester to mkuu, legacy sina uzoefu nayo, for comfortability forester is the best on Subaruivi hizi subaru legacy b4 kwenye spidi zinaweza ikaribia foresta
kuna swahiba wangu ana option 2 kati ya audi a4 na subaru legacy hazitofautiani sana bei toka jp wewe una nishauri ipi tuichukue? sina uzoefu na gari ndogo mkuuNinatumia forester to mkuu, legacy sina uzoefu nayo, for comfortability forester is the best on Subaru
Chukua ISTNaomba ushauri wadau kuhusu ipi Gari nzuri kati ya Toyota camy; ist; na Suzuki jimny.kazi kubwa kuendea kazini na napandisha mlima kidogo.IPI itanifaa
Kwa uzoefu Wangu ni warning ya timing belt....hasa kama inawaka na kuzima baada ya muda fulaniWakuu.
Gari yangu aina ya mark II grand yenye engine ya 1G-FE vvt-i beams 2000 ina tatizo la kuniwashia taa ya "check engine" tatizo linaweza kuwa ni nini?
Hivi engine oil ikipungua kidogo inaweza kuwa ndo kisababishi?
Msaada tafadhali.
Kwa uzoefu Wangu ni warning ya timing belt....hasa kama inawaka na kuzima baada ya muda fulani