Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Unamaanisha push to start? Kwenye battery basi check mfumo nzima huenda kuna loose connection. Pata fundi wa uhakika wa umeme akuangalizie

Nakushukuru sana Kiongozi, wewe umebobea upande upi kiongozi.
Mechanics or electrical?
 
Nakushukuru sana Kiongozi, wewe umebobea upande upi kiongozi.
Mechanics or electrical?
Mkuu nisikudanganye mimi ni fan tu wa magari sio fundi wala nini ila uzoefu wa muda mrefu tu kubaidi shida inaweza kuwa nini. Mwisho wa siku fundi mhusika ndio atasema tatizo hasa ni nini.
 
Dalili ya kwanza ukiachana na ishu ya terminals unapowasha gari kuna kusinzia fulani hivi

Mkuu mm niliwahi hisi hilo lakini haikua hivyo. Gari ilikua inawaka baada ya sekunde 3-6, nilihisi battery kumbe mafuta yalikua mabaya.

Labda vipimo vile vya computer vinaweza gundua
 
Mkuu mm niliwahi hisi hilo lakini haikua hivyo. Gari ilikua inawaka baada ya sekunde 3-6, nilihisi battery kumbe mafuta yalikua mabaya.

Labda vipimo vile vya computer vinaweza gundua
Hapana msinzio wa low battery unajulikana lakini Inategemea pia na uzoefu wako kwenye magari
 
Yeah sure mkuu, sema sijazoea kukaa na magari kwa muda mrefu hua na uza kabla ya hizo mambo kuanza
Lakini pia kuna hili moja la muhimu sana ambalo wengi hawalizingatii service ya battery na lifespan yake
 
Naomba ushauri wadau kuhusu ipi Gari nzuri kati ya Toyota camy; ist; na Suzuki jimny.kazi kubwa kuendea kazini na napandisha mlima kidogo.IPI itanifaa
 
Mshana Jr binafsi sijawahi kumiliki gari ila imefika wakati nahitaji kununua kwa ajili ya matumizi ya familia hapa mjini na Mara moja moja kwenda likizo kutoka mbeya kwenda kahama naomba ushauri kati ya gari hizi IPI itanifaaa Ist cc 1299,Toyota belta cc 1290,Toyota premio cc 1490,corolla axio cc 1490 na Toyota raum,ipi itanifaa zaidi ?
Subaru Forester itakufaa sana mkuu,luggage compartment ni kubwa, watu watano mnakaa comfortable. Inahimili safari ndefu na barabara zote.....
 
Subaru Forester itakufaa sana mkuu,luggage compartment ni kubwa, watu watano mnakaa comfortable. Inahimili safari ndefu na barabara zote.....
ivi hizi subaru legacy b4 kwenye spidi zinaweza ikaribia foresta
 
Ninatumia forester to mkuu, legacy sina uzoefu nayo, for comfortability forester is the best on Subaru
kuna swahiba wangu ana option 2 kati ya audi a4 na subaru legacy hazitofautiani sana bei toka jp wewe una nishauri ipi tuichukue? sina uzoefu na gari ndogo mkuu
 
Wakuu kuna hii inaitwa Toyota Voltz mwaionaje naona kama nayo iko njema kwa safari!
 
Naomba ushauri wadau kuhusu ipi Gari nzuri kati ya Toyota camy; ist; na Suzuki jimny.kazi kubwa kuendea kazini na napandisha mlima kidogo.IPI itanifaa
Zote naona nzuri tuu
 
Wakuu.

Gari yangu aina ya mark II grand yenye engine ya 1G-FE vvt-i beams 2000 ina tatizo la kuniwashia taa ya "check engine" tatizo linaweza kuwa ni nini?

Hivi engine oil ikipungua kidogo inaweza kuwa ndo kisababishi?

Msaada tafadhali.
 
Kwa uzoefu Wangu ni warning ya timing belt....hasa kama inawaka na kuzima baada ya muda fulani
 
Back
Top Bottom