Kafanye diagnosis tafadhali hizi gari hazitaki guess work na kama ni timing belt na taa inawaka muda wote basi inakaribia kwisha kabisa sasaHii ya kwangu inawaka muda wote,yaani ukiwasha engine tu baada ya dk 10 tu taa inawaka.
Kafanye diagnosis tafadhali hizi gari hazitaki guess work na kama ni timing belt na taa inawaka muda wote basi inakaribia kwisha kabisa sasa
sio kweli mkuu .kwenye hiyo gari aliyoitaja hakuna kitu kama hiyooKwa uzoefu Wangu ni warning ya timing belt....hasa kama inawaka na kuzima baada ya muda fulani
mashine zipo mkuu kuna ishu nyingi sana zinazoweza kusababisha taa hiyo kuwaka.Wakuu.
Gari yangu aina ya mark II grand yenye engine ya 1G-FE vvt-i beams 2000 ina tatizo la kuniwashia taa ya "check engine" tatizo linaweza kuwa ni nini?
Hivi engine oil ikipungua kidogo inaweza kuwa ndo kisababishi?
Msaada tafadhali.
mm ndio maana nasema kila siku unanunua gari ya milion kuanzia 5 unatumia simu ya kuanzia laki 3 ambayo inauwezo wa kudiagnosis gari yako cha kununua ni ile obd 2 blue tooth ambayo bei yake ni ndogo sana haifiki hata laki 1 au ukanunua code leder ambayo nayo haifiki hata laki na nusu au laki kwaajili ya kufanyia chekup gari yako.vi sign vidogo vidogo ukatatua.ukija kuuliza hapa iwe ni maswali je lambda sensor au knock sensor or throttle sensor au sijui catalic converter ndio kitu gani na je ipo wapi au kwenye gari yangu.au unaweka fault code na kuomba msaada wa fafanulio.Ok asante nilichofanya ni guess work bila kuzingatia model ya gari
Nazungumzia kwa uzoefu hiyo timing belt ndio inayofanya engine ifanye kazi na feni belt ni kwa ajili ya feni ya mfumo wa kupoza joto kwenye engine na kiyoyoziNaomba mnisaidie kujua utofauti wa Timing Belt na Fern Belt. Alafu izo zote zinabadirishwa baada ya kilometer ngapi?
timing belt ni belt ambayo huwa inaunganisha mzungusho kati ya camshaft na crank shaft na inategemeana na aina ya gari kama ni gari ya disel basi huwa inazungusha pia fuel pump.hii belt huwa ndani ya front cover kuiona ni mpaka ufunguwe front cover.Naomba mnisaidie kujua utofauti wa Timing Belt na Fern Belt. Alafu izo zote zinabadirishwa baada ya kilometer ngapi?
Legacy itamfaa sana.kuna swahiba wangu ana option 2 kati ya audi a4 na subaru legacy hazitofautiani sana bei toka jp wewe una nishauri ipi tuichukue? sina uzoefu na gari ndogo mkuu
audi ina tatizo mkuu? lkn nilimshauri achukue legacy japo sijajua kama perfomance yake inaweza isogelea foresterLegacy itamfaa sana.
Siifahamu hii gari ila kwa mwonekano wake tu ichukue Honda nyingi ziko vizuri kama hutajali hebu weka beiView attachment 349222 honda crossroad anaye zijua hizi gari matatizo yake
Mkuu Lege naomba msaada wako.
Gar yangu inashida ambayo nimeshindwa kugundua ni kitu gani, kuna muda na muda tena mara chache.
Nikizima kuja kuwasha inazingua mpaka ni boost. Nikahisi terminal haziko nimebadili lakini bado.
Na dalili za kutokea hivyo huwa inaonyesha. Kuna saa kama natembea nimewasha taa mwanga unakuwa una vibrate hata kwenye dashboard inaonyesha mwanga wake hautulii na sterling inakuwa ngumu. Ila nikitembea tembea inapotea.
Na hili tatizo limeanza siku ambayo nili park pale tazara na gari kugoma kuwaka mpaka nikamuita fundi wangu anitolee sterling lock ili tulitoe maeneo hayo kwasababu walituambia watu pale kuwa key less car zinasumbua kuwaka maeneo ya Tazara mpaka zitoke hapo.
Na kweli tulitoka pale hadi tmk na tulipo washa gari ikawaka na fundi kurudishia ile lock. Lakini tatizo likaanza siku hyo hyo mara sterling kuwa ngumu saa nyingine mara zikizma kusumbua kuwaka.
Sasa inanipa tabu kiongozi. Msaada wako naamini utakuwa ushakutana na shida kama hizi.
Natanguliza shukrani mkuu Lege.
CIF yake inaanzia $5000 kwa model ya 2007 ambayo ndio hiyo inayoonekana hapo na zipo cc1800 na cc2000 4wd na 2wdSiifahamu hii gari ila kwa mwonekano wake tu ichukue Honda nyingi ziko vizuri kama hutajali hebu weka bei
Hi, nataka kununua gari toyota ISIS cc 1998 D4 engine. Tafadhari mwenye uzoefu nayo na ushuri pia, nini utafunaji wake wa mafuta nk.Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo utunzaji na kadhalika.
Watu wengi wametapeliwa kwenye mauzo na manunuzi, kwenye nyaraka, kwenye vipuri kwenye matengenezo na hata matumizi.
Kwa Uzi huu basi kila mwenye ujuzi, uzoefu, ushauri au mwenye maswali na tatizo lolote linalohusiana na magari hapa ndio pawe uwanja wake
Karibuni sana
Ushauri: Jinsi ya kununua gari iliotumika ndani ya Tanzania
Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!
USHAURI: Ununuaji wa magari...
View attachment 225786
Check na Lege atakufafanulia vizuri,ni D4 ni engine nzuri na za kisasa ila mafundi wengi hawako familiar nazo.Hi, nataka kununua gari toyota ISIS cc 1998 D4 engine. Tafadhari mwenye uzoefu nayo na ushuri pia, nini utafunaji wake wa mafuta nk.
Lege naomba ufafanuzi nataka nunua gari Toyota ISIS cc 1998 D4 Engine, ushauri tafadhari juu ya gari hii. Au Mazda Primacy MPV cc 2000. All this is 7 seat Family size MPV.sio kweli mkuu .kwenye hiyo gari aliyoitaja hakuna kitu kama hiyoo