Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wengi wetu tunanunua used kutoka Japan na Europe. Unaweza kukuta manual au usiikute, na inaweza kuwa imeandikwa kijapan!
mwenye ushuhuda wa kumiliki aina hii ya gari kwa muda mrefu atupe uzoefu na sisi.....naipenda ile option yake ya 2wd na 4wd na cc zake si nyingi
I see.
While we are still on whips....
That 2015 Tesla Model S is smooth like a mug.
Naanza kufikiria kwenda kwenye electric sasa.
Ila sijui kama nitaweza kulilipia bila financing kama Pontiff Kiranga.
wakuu mimi swali langu ni kuhusu Landrover Freelander hasa ya cc 2490,uimara wake,fuel consumption,servicing na spare tafadhari naombq kujuzwa
Wataalamu naomba kujua mambo machache kuhusu uagizaji wa magari nje ya nchi hasa Japan kama ilivyozoeleka. Leo naomba kujua ikiwa nimeagiza gari toka Japan, nimesikia baada ya kulipia saler atakutumia baadhi ya documents ambazo utampa agent wa clearing and forwarding ili aendelee na taratibu mbali2 ili gari likifika isichukeu muda kulitoa. Swali langu nikuwa je agent hawazi kukuingiza mjini kwa kutumia document ilizo mpa? Ni documents gani hutakiwi kutoa ili usipigwe? Wenye kujua nijulishe kuhusu hill.

Unajua umepinda wewe
Ndugu MshanaJr.dont give a f@:+!k bro,endelea kutoa elimu broh,
kaka embu chambua toyota vits na suzuki swift,ni ipi ngumu,na imara,na consuption ipi ipo juu zaidi
Poa kaka ngoja nifanye utafiti kwanza japo vits nijuavyo mimi ni gari nyanya sana na nyingi zina ugonjwa wa gearbox ambao hautibiki
Kwema huko ndio nakuwa hewani aisee
Ndugu tunashare ujuzi na uzoefu na maarifa, penye makosa unarekebisha kwa hekima na ustaarabu
Samahani mshana makwazo hayana budi kuja,Ila ni vema mtu kuchangia kama anajua mkuu mwingine anataka aonekane kachangia ilhali hajui,vema kuchangia kama una mwanga na mada husika mkuu,sema nimemkosoa kwa nguvu sorry kwake