Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wengi wetu tunanunua used kutoka Japan na Europe. Unaweza kukuta manual au usiikute, na inaweza kuwa imeandikwa kijapan!

I see.

While we are still on whips....

That 2015 Tesla Model S is smooth like a mug.

Naanza kufikiria kwenda kwenye electric sasa.

Ila sijui kama nitaweza kulilipia bila financing kama Pontiff Kiranga.

tesla-model-s-40_800x0w.jpg
 
Last edited by a moderator:
mwenye ushuhuda wa kumiliki aina hii ya gari kwa muda mrefu atupe uzoefu na sisi.....naipenda ile option yake ya 2wd na 4wd na cc zake si nyingi

Ninamiliki nissan X-trail tangu 2009 nliinunua Japan, ukiacha ishu za kubadilisha tyres, betry kiukweli sasa ndo naona inanisumbua baada ya kukosa hiyoVVTI senser mpya.
 
I see.

While we are still on whips....

That 2015 Tesla Model S is smooth like a mug.

Naanza kufikiria kwenda kwenye electric sasa.

Ila sijui kama nitaweza kulilipia bila financing kama Pontiff Kiranga.

tesla-model-s-40_800x0w.jpg

You is a pimp...
 
Last edited by a moderator:
wakuu mimi swali langu ni kuhusu Landrover Freelander hasa ya cc 2490,uimara wake,fuel consumption,servicing na spare tafadhari naombq kujuzwa
 
im a 'BMW, VW,AUDI,VOLVO,RR' MAN....im not into american cars.
 
wakuu mimi swali langu ni kuhusu Landrover Freelander hasa ya cc 2490,uimara wake,fuel consumption,servicing na spare tafadhari naombq kujuzwa

LR Freelander ONE was a flop...usinunue zile za kwanza 98-05....nunua from 2008 at least ndio nzuri iwe td4
 
Wataalamu naomba kujua mambo machache kuhusu uagizaji wa magari nje ya nchi hasa Japan kama ilivyozoeleka.

Leo naomba kujua ikiwa nimeagiza gari toka Japan, nimesikia baada ya kulipia saler atakutumia baadhi ya documents ambazo utampa agent wa clearing and forwarding ili aendelee na taratibu mbali2 ili gari likifika isichukeu muda kulitoa.

Swali langu nikuwa je agent hawazi kukuingiza mjini kwa kutumia document ilizo mpa? Ni documents gani hutakiwi kutoa ili usipigwe? Wenye kujua nijulishe kuhusu hill.
 
Wataalamu naomba kujua mambo machache kuhusu uagizaji wa magari nje ya nchi hasa Japan kama ilivyozoeleka. Leo naomba kujua ikiwa nimeagiza gari toka Japan, nimesikia baada ya kulipia saler atakutumia baadhi ya documents ambazo utampa agent wa clearing and forwarding ili aendelee na taratibu mbali2 ili gari likifika isichukeu muda kulitoa. Swali langu nikuwa je agent hawazi kukuingiza mjini kwa kutumia document ilizo mpa? Ni documents gani hutakiwi kutoa ili usipigwe? Wenye kujua nijulishe kuhusu hill.

Mimi sio mtaalamu ila nlishaagiza gari 2 kwa wakati tofauti na nlitumia agents tofauti na niliwapa documents zote nlizoletewa kutoka Japan kupitia DHL...ila ni agents ambao nilitambulishwa kwao na watu wanaowafahamu maana na moe nlikuwa na wasiwasi kama wewe.
 
Wataalamu naomba kujua mambo machache kuhusu uagizaji wa magari nje ya nchi hasa Japan kama ilivyozoeleka. Leo naomba kujua ikiwa nimeagiza gari toka Japan, nimesikia baada ya kulipia saler atakutumia baadhi ya documents ambazo utampa agent wa clearing and forwarding ili aendelee na taratibu mbali2 ili gari likifika isichukeu muda kulitoa. Swali langu nikuwa je agent hawazi kukuingiza mjini kwa kutumia document ilizo mpa? Ni documents gani hutakiwi kutoa ili usipigwe? Wenye kujua nijulishe kuhusu hill.

Mkuu ma agent wana office usijaribu kufanya shughuli kienyeji kama una shida hiyo ni pm nikukabidhi kwa watu wangu.
 
Ndugu MshanaJr.dont give a f@:+!k bro,endelea kutoa elimu broh,
kaka embu chambua toyota vits na suzuki swift,ni ipi ngumu,na imara,na consuption ipi ipo juu zaidi
 
Ndugu MshanaJr.dont give a f@:+!k bro,endelea kutoa elimu broh,
kaka embu chambua toyota vits na suzuki swift,ni ipi ngumu,na imara,na consuption ipi ipo juu zaidi

Poa kaka ngoja nifanye utafiti kwanza japo vits nijuavyo mimi ni gari nyanya sana na nyingi zina ugonjwa wa gearbox ambao hautibiki
 
Ndugu tunashare ujuzi na uzoefu na maarifa, penye makosa unarekebisha kwa hekima na ustaarabu

Samahani mshana makwazo hayana budi kuja,Ila ni vema mtu kuchangia kama anajua mkuu mwingine anataka aonekane kachangia ilhali hajui,vema kuchangia kama una mwanga na mada husika mkuu,sema nimemkosoa kwa nguvu sorry kwake
 
Hamna shaka kabisa nashukuru mno kwa positive respond N'yadikwa! bwt hili jina la wapi kaka?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom