Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kuna tatizo kwenye mfumo wa ABS,yaweza kuwa waya wa sensor kwenye moja ya mfumo kwenye tairi umekatika,nk
 
Tatizo langu ni tundu moja la ku sprinkle maji kwenye kioo cha mbele hairushi maji...inarusha moja tu
Tatizo langu ni tundu moja la ku sprinkle maji kwenye kioo cha mbele hairushi maji...inarusha moja tu
Tatizo langu ni tundu moja la ku sprinkle maji kwenye kioo cha mbele hairushi maji...inarusha moja tu[/

chukua sindano au pini au kitu chochote chenye ncha ndogo sana then chokono hilo tundu lililoziba huku mtu anapress switch ya kurusha maji ya weper.epuka kutumia sabauni ya unga kwenye mitungi ya maji ya weper bali tumia sabuni ya maji.sabuni ya unga huwa inachangia sana kuziba v
 
Wakuu taa ya alarm ya ABS ikiwaka inamaanisha nini kwenye Gari?
Naongezea swali kwenye hili aliloulizia mdau hapa, imeshanitokea mimi pia taa zote za hatari kuanzia taa alarm ya ABS, HAND BREAK, CHA MAFUTA yani vyote vinawaka na gari limekaguliwa lote hakuna tatizo lakini taa za hatari zinawaka, nimetoka dar mpaka arusha taa zilikuwa zinawaka mafundi wameshahangaika lakini wapi taa zinawaka, na nimetoka kwa umbali wote huo na gari sio mbovu wala nini gari ni IST.. Msaada plz
 
mkuu sio kweli gari inamatatizo ndio maana hizo taa zinawaka .taa hizo huwa zinawaka kwa sababu sehem husika kuna shidaa .hilo gari wanakagua na nini kwakuangalia na macho au kwa kutumia mashine hapo hata usipotumia mshine ukiipima kwa njia ya manually lazima itakuonyesha shida yake.
mkuu mm naweza kukurekebishia au kukuchekia na nikakwambia shida ni nn kama upo dar au hata nje ya dar unafuatwa.
 
Naomba msaada jaman nilnuonga uskani wakat gar limezima cha ajabu sasa hivi niingiza funguo hazunguki kuwasha gar
 
Mwenye uelewa juu ya Toyota Hilux old model double kben. Utumiaji wa mafuta na vtu gan mhimu natakiwa nichunguze kabla cjajtumbua. Plse assistance.
 
harafu mm nshangaa sijui kwa nn trafic wanawaacha mnaendesha gari zilizo wekwa tinted kwenye taa za mbele na nyuma.huwezi ona ishara yoyote ile kutoka kwenye gri iliyobandikwa tinted
 
Nimebandika sticker nyeusi ktk bonnet...nikaenda TRA kujaribu kubadili kwenye kadi from Green kuwa multi color nikaambiwa kuwa sticker ni temporary hawawezi badili kwenye kadi kwa kitu kinachotoka....nikaenda traffic wakaniambia wao wanajua sticker ni temporary so hawakamati siku hizi kwa ishu kama hiyo.....Nikatoka nikiwa sina wasiwasi....cha kushangaza Tazara nikakamatwa na traffic wa kike na hakunielewa kabisa japo nilimuelewesha vyote nilivoambiwa....akaniachia lkn akasisitiza nimepotezwa kwamba inatakiwa iwe multicolor....SASA NAJIULIZA NANI YUPO SAHIHI
 
Attachments

  • 1471559200524.jpg
    1471559200524.jpg
    34.8 KB · Views: 105
Habari za wkend wadau! Naomba anayejua duka la vipuri vipya vya nissan kwa hapa dar anielekeze.
Asante.
Mkuu lipo moja kkoo, mbele kdogo ya big bon ukiwa km unaenda fire, kushoto kwako.. Ila uende vizur wanatizama uso ukienda kichwa kichwa wanakupiga spea ya 70 elfu utaskia lak 2, hawajakupigia hesabu ya kodi ya uwongo hapo.. Wezi kwel jamaa wale.
 
Naomba nijulishwe bei ya tair zakufunga kwenye rav4 kilitime, size ya tairi ni ipi? pia aina gani ya tairi ni nzuri.
 
Wakuuu na gari aina ya passo sasa majuzi wakati naendesha ikaanza kupiga makerere na kutetemeka mwanzoni nlijua labda kwa kua mafuta yalikua kidogo, nlivyo weka bado tatiz likiendelea mara hii ata gari imekua aina nguvu kabisa ata ukikanyaga mafuta inatembea mwendo mdogo tofaut na awali, tatizo itakua nin wakuuu
 
gari ina miss
 
Habari ya jpili wapendwa, Naomba ushauri wenu tafadhali! Nimeipenda gari aina ya Nissan dualis,vipi kuhusu strengths na weaknesses zake.
 
Back
Top Bottom