Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Akhsante ndugu yangu.
 
Sidhani kama Grande Mark II kuna yenye engine ya 4 cylinders. Ninachojua zote ni 6 cylinders. Tofauti ni cc. GX110 ina engine ya 1G FE ambayo ni cc2000 na kuna JZX110 ambayo ina engine ya 1JZ-FSE ambayo ni cc2500.
 
vipi bado unayo na vipi 1litr inaenda km nqap??? na vipi kama unajua msaada ukiagiza from Japan bei INA range ngapi
 
Mhh zile vimeo ni substandard maduka mengi ya radio za magari zipo

Mkuu naomba msaada kati ya gari hizi ipi ni inafaa kwa mtu wa gari za kawaida spacio,toyota run x na nissan tiida mkuu natka moja wapo hapo nichukue?!!!
 
AUTOCOM JAPAN- USED CAR EXPORTERS –

MAGARI MAZURI KWA BEI POA

Je unahitaji kuagiza gari toka Japan?

Je unahitaji kupata gari nzuri toka Japan kwa bei nafuu na kwa muda mfupi?

Tafadhali wasiliana nasi ili kuweza kupata utaratibu wa kuagiza gari kwa bei nafuu na kwa muda mfupi zaidi.

Tembelea offisi zetu@ Quality center mall – Nyerere/Pugu road, Dar es salaam

Simu/whatsapp: +255 674 518 707

Email: msuya.autocj@gmail.com : msuya@autocj.co.jp

Website: Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan




 
Wakuu msaada tafadhali. .
Vipi kuhusu spare parts za Subaru siku hizi zinapatikana! ?
 
2016NEW NEW D900UNIVESAL CAR VEHICLE FAILUE CODE READER DIAGNOSTIC TOOL
- FOR SALE -
2pc @ 120,000 t sh
Pm pls kwa anae hitaji, Samahani mshana Jr. Kwa kuchanganya mada yako
 
Wakuu salama...kufanya engine diagnosis ni kama shiling ngap...na wapi ni mahali pazuri.
toyota opa inazingua kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…