Njoo[/QUOTE]Njoo mwenge nitakuchekia mkuu.fafanua inazingua nini mkuu?? maana kuna magonjwa mengine sio ya softwere bali ni hardware.hivyo utakimbilia kupima utapima na bado huta pata solutionTE="brazuka, post: 18311229, member: 228999"]Wakuu salama...kufanya engine diagnosis ni kama shiling ngap...na wapi ni mahali pazuri.
toyota opa inazingua kidogo
Spacio, Run X, Allex zote ni aina tofauti za Corolla na zinatumia platfom moja.Ahsanteh sana mkuu ko hata Runx na allex hazina unafuu mbele ya spacio?
Kadi original ya gari inabaki benkiWadau...! Hiv ukitaka kujua kama gari unayotaka kununua imechukuliwa mkopo yaan imewekwa bondi...mfano benki....nafanyaje kujua?! Asanteen
Njoo[/QUOTE]Njoo mwenge nitakuchekia mkuu.fafanua inazingua nini mkuu?? maana kuna magonjwa mengine sio ya softwere bali ni hardware.hivyo utakimbilia kupima utapima na bado huta pata solutionTE="brazuka, post: 18311229, member: 228999"]Wakuu salama...kufanya engine diagnosis ni kama shiling ngap...na wapi ni mahali pazuri.
toyota opa inazingua kidogo
Mkuu kumbe hizi maniaje ni sana tu. Umeni inspire "kinyama". Itabidi nikutafute.Njoo
Kuna brands nyingi za tairi nzuri, na bei pia zinatofautiana saana kwa factors nyingi, ikiwemo size unayotaka. Ila kikubwa inategemeana na matumizi yako ya gari. Kama unasafari za mwendo mrefu za mara kwa mara ni bora kununua brands kama Kumho, Pirelli, Dunlop etc, ni uhakika. Kwa safari za mjini, hakuna shida, brand yeyote inakusukuma vizuri tu, hata za Kichina as long as utafanya investment ya mara kwa mara kwenye wheel alignment kuzuia tairi kuisha upande mmoja na kukagua upepo mara kwa mara.Habari za asubuhi wadau!!. Naomba kujua brand nzuri ya matairi ambazo ni salama na zinadumu pia ningependa kujua rims nzuri ambazo ni imara na zina mwonekano mzuri. Natumia Rav4 old model naomba pia mwongozo wa nitakapovipata na bei ya rim/matairi . Ahsante
Sawa kabisa kiongozi....matairi yanahitajika matunzo sana hata kama ni brandi kali kama izo kumho bridgestone nk...kosa kdg la alignment au wheel balance au upepo basi utaisoma namba tu. Hawa kina goodride wanakuja vizuri sasa hiviKuna brands nyingi za tairi nzuri, na bei pia zinatofautiana saana kwa factors nyingi, ikiwemo size unayotaka. Ila kikubwa inategemeana na matumizi yako ya gari. Kama unasafari za mwendo mrefu za mara kwa mara ni bora kununua brands kama Kumho, Pirelli, Dunlop etc, ni uhakika. Kwa safari za mjini, hakuna shida, brand yeyote inakusukuma vizuri tu, hata za Kichina as long as utafanya investment ya mara kwa mara kwenye wheel alignment kuzuia tairi kuisha upande mmoja na kukagua upepo mara kwa mara.
Kuhusu rims, kama unapenda za alloy, as as opposed to zile za chuma, then ninakushauri utafute used za Toyota hasa Rav4, Kluger n.k kuliko kununua mpya za aftermarket. Mpya za madukani haziaminiki saana, hasa kama unasafiri usiku ambapo unaweza piga shimo za kutosha ukiwa barabarani. Hizo used unaweza pata kuanzia Tshs 600,000 - Tshs 1,000,000
Ivi Mshana JrMshana jr betri ya N50 inafaa kwenye gari premio corona cc1500?
Wakuu msaada kidogo,
Wapi nitapata wataalam wa kubana mafuta kwenye rav4 old model!?
Ni kweli. Wengi wetu tunajua kufanya balancing and alignment ni pale tu unapofunga tairi mpya. Kumbe ni suala la maintenance ya kawaida kabisa ya mara kwa mara.Sawa kabisa kiongozi....matairi yanahitajika matunzo sana hata kama ni brandi kali kama izo kumho bridgestone nk...kosa kdg la alignment au wheel balance au upepo basi utaisoma namba tu. Hawa kina goodride wanakuja vizuri sasa hivi
unamaana gani mkuu? yaani kubana isitumie mafuta au?
Cha msingi angalia kama kuna tatizo linaifanya itumie mafuta kuliko kawaida ulitatue mkuuHahahaa..
Mkuu nimeongelea kubana mafuta, sio isitumie mafuta.
Nadhani umenielewa na nasubiri msaada wako mkuu.
Ni kweli. Kuna watu huwa wanafanya mbinu za kufinya nozzles ili mafuta yatoke kidogo. Ila sio mbuni nzuri kabisa. Maana inapunguza life time ya engine.Cha msingi angalia kama kuna tatizo linaifanya itumie mafuta kuliko kawaida ulitatue mkuu