Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kweli kabisa. Na ukiwa highway, ni gharama zaidi kufungua vioo kuliko kutumia A/C
Ningejua mapema ingekua rahisi sana kuna jamaa alininiambiaga habari hiyo AC kula mafuta nikawa naishi kwa hofu kumbe nimejisumbua bure BT sijachelewa naapply imedietely
Sasa hizo gharama ni kubwa kuliko kutumia AC
 
Ningejua mapema ingekua rahisi sana kuna jamaa alininiambiaga habari hiyo AC kula mafuta nikawa naishi kwa hofu kumbe nimejisumbua bure BT sijachelewa naapply imedietely
Yes, kama bado inafanya kazi vizuri, hujachelewa kabisa. Compressor ya A/C inazungushwa na mkanda kutoka kwenye engine. So pale A/C inapokua on, engine inaongezewa extra load, lakini ni kidogo saana, ndio maana Mshana jr amesema inakunywa, lakini ni kidogo saana. Na mara nyingi, huwa ubaridi ukitosha, compressor inakata yenyewe mpaka kutakapokua na uhitaji tena. So, watu huwa wanaogopa tuu bure.
 
Na Kwakweli ni kuichakaza gari kwa mavumbi
 
Daa! Kwa Mwanza niliwahi ulizia, naona bei ilikua juu saana kiasi kwamba inakua sio reasonable. Ila kama una mtu Dsm au Arusha, wanaweza kukutumia. Nafikiri kwa Dsm lita nne wanauza Sh 100,000. Mwanza niliulizia ilikua Sh 180,000.

Nashukuru Mkuu ila kama utapata Wasaa nisaidie picha nione jins ilivyo ili nisije ingizwa choo cha kike
 
Nashukuru Mkuu ila kama utapata Wasaa nisaidie picha nione jins ilivyo ili nisije ingizwa choo cha kike
toyota-automatic-transmission-fluid-type-t-iv-transmissionnoe-maslo.jpg Toyota-Automatic-Transmission-Fluid-Type-T-IV---1-Liter-5873365.jpg to-9000t4-a_01_20.jpg
Inategemeana na ujazo, na supplier, lakini inakua kama hizi
 
Wakuu nahitaji kurudia kupiga Rangi gari yangu kwa DSM wapi wanapiga Rangi vizuri na kwa beii nzuriii...
 
Garii hiyooo nayohitajii kurudia rangiii mwenyewe kufaham sehem nzuriii nikipata na mawasilianooi yao sio mbayaaa
 
Jamani kuna Audi A4 nataka chukua lakini sina ujuzi sana na hizi gari. Baadhi ya specifications ni hizi;

Chassis# WAUZZZ8E44A275112
Model Code: GH-8EALT
Version: 2.0
Engine Code: ALT

Nahitaji kufahamu kuhusu hayo hapo juu.
Kama yur a very big guy usichukue hyo
Ila room ndogo sana ndan
Chukua BMW au legacy b4
 
Back
Top Bottom