Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Moja ya sababu ni shida ya wiring. Kama ulishapeleka kwa mafundi umeme wakagusa gusa vitu huko ndani, inaweza kuwa imechangia. Hasa wanaofunga zile car security alarm systems, huwa wanafuruga wiring mara nyingi.
 
Hizo engine 5A zinakula mafuta vizuri sana sana..
Hiyo vitz ya 1.3L inaweza zid yakwako.
 
Hyo gari inamafuta mengi tu..
Ku blink kwa hyo sio mafuta kuisha,
Mafuta yakiwa yame baki madogo inawaka taa mkuu.
 
Naomba munisaidie hili engine ya gari yangu ni 4E lakini inatatuzo nikiingiza gia mfano D au R body ya gari inatetemeka sana kama vile inakosa mafuta ya kutosha lakini nimejaribu ufanyia matengenezo hadi mfumo wa mafuta na umeme nikaja kubadili hadi engine mount zake zote tatu lakini tatizo liko palepale mwenye kujua au experience ya tatizo hili tafadhari...
 
Hyo gari inamafuta mengi tu..
Ku blink kwa hyo sio mafuta kuisha,
Mafuta yakiwa yame baki madogo inawaka taa mkuu.
Kweli kabisa, kutegemeana na tank, unaweza kuta zaidi ya lita 10 na bado taa inawaka.
 
Wakuu ifikapo Desemba 25/2017 nataka niwe namiliki hii kitu VOLKSWAGEN
Touareg, hivyo kabla sijamua kujitosa kwenye hili gari napenda kufahamu changamoto zake.

Je naweza kufika nalo kwenye rough roads za Sikonge mpaka Katavi, Mpanda na maeneo ya Kakonko na kurudi salama mjini kwenye lami?
 
Mkuu/ Wakuu ifikapo Desemba 25/2017 nataka niwe namiliki hii kitu VOLKSWAGEN Touareg, hivyo kabla sijamua kujitosa kwenye hili gari napenda kufahamu changamoto zake.

Je naweza kufika nalo kwenye rough roads za Sikonge mpaka Katavi, Mpanda na maeneo ya Kakonko na kurudi salama mjini kwenye lami?
 
Chukua with all decisions
 
Wajuzi wa haya mambo mshana na wengineo Naombeni msaada kwenye hili!! Msinipotezee tafadhari
 
Wajuzi wa haya mambo mshana na wengineo Naombeni msaada kwenye hili!! Msinipotezee tafadhari
Kuna kitu kidogo sana lakini watu wanakidharau ama hawakijui kinakaa aidha kwenye engine ama kwenye air cleaner system kinaitwa breezer, hiki kazi yake kubwa ni kubalance upepo ndani ya mfumo mzima, kikiwa na shida hiki dalili zake ni hizo jaribu kuwasiliana na fundi mjuzi
 
Toyota Noah vox nahitaji kubadili ATF Kwenye Gearbox niweke ipi ilo Nzuri??
Kwanini unataka kubadilisha, kwani imeshabadilika rangi na kuwa nyeusi kutoka rangi yake nyekundu ? ATF haibalishwi kila mara kama engine oil mkuu ! mpaka ibadili rangi iwe nyeusi baada ya kutembea 60,000+ km ndio inabadilishwa..
 
Nashukuru kwa msaada wako mshana nitafanyia kazi hilo na vipi kuhusu plag! Maana yupo jamaa yangu mmoja aliwai nieleza inawezekana pia ikawa inachangiwa na plug. Kwa engine hizi za 4E au kwa udhaefu wenu inaweza kuwa nayo ni chanzo
 
Plug unaaza kuhisi tatizo kwenye silence mode lakini pia zikague na ukibadili hakikisha unaweka genuine...
NB: hakikisha hivi vitu Unanunua mwenyeji na kusimamia ufungaji
 
Plug unaaza kuhisi tatizo kwenye silence mode lakini pia zikague na ukibadili hakikisha unaweka genuine...
NB: hakikisha hivi vitu Unanunua mwenyeji na kusimamia ufungaji
Hii silence mode inafanyaje like inakuwa inaongezeka haishuki au inashuka sana au gari ikikaa silence kwa kipindi fulani inaweza jizima yenyewe.
Kwa experince ya hii ninayotumia mimi ukiwasha inapokuwa gia bado ipo kwenye P inakuwa sawa ila ukiweka gia mfano D au R ndio inatetemeka body na kama umekaa kwenye foleni muda mrefu na unatumia Ac kipindi gari iko silence na iko kwenye gia ukaweka mfano N au P wakati wa kurudi tena kwenye gia inazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…