Mokoyo samahani kwakweli nilitaka kufanya hivyo jana nikasahau unajua kwasasa sipo mjini na huku nilipo ni mpaka nipate wireless ndio nakuwa hewanimshana jr haunitendei haki kwenye ili swali langu, sijapata jibu.
Kuna hii gari inaitwa NISSAN MURANO.Hebu mwenye uzoefu anisaidie.Kujibu maswali haya mafupi.
1.Strenghs zake ni zipi hasa?
2.Weaknesses zake ni zipi?
Gari nzuri ina speed ni ngumu ulaji wa mafuta ni mzuri kwa maana ya kwamba ukizingatia kanunuliwa za kuendesha automatic ina nafasi kubwa ndani (sio kwa ajili ya kufanyia matusi lakini)
Weaknesses zake ni kwamba inahitaji utunzaji na bei iko juu si chini ya m30

Ahsante Mshana Jr kwa Ushauri mzuri.Nahitaji ufafanuzi zaidi uliposema "Inahitaji utunzaji".
Na vipi kuhusu upatikanaji wa SPEA zake?
Gari ni kama kitu kingine chochote inahitaji utunzaji na uangalizi wa karibu kwa maana ya uendeshaji na kufanya service kila muda unapofika na kutumia lubricants genuine na spare genuine pia
Spare parts sio kwamba afagilia sana Kenya ila ndipo karibu ambapo mtu anaweza kupata chochote kwa bei nzuri/nafuu na genuine
Naombeni mnieleweshe hichi kitu, hivi ni kwanini mtu anaposafiri na gari muda mrefu kisha akasimama sehemu fulani huwa hashauriwi kuzima gari? Je huwa inahitajika muda gani upite ili yeye aweze kuzima gari pale aliposimama. Asanteni.
Asante sana, ngoja nifanye hivyo sasa.Kuna majibu hapo juu kwenye post zilizotangulia jaribu kupitia kuna majibu ya kutosha
Wakuu kuna hii kitu, gari kuwa "silence" juu kila ukiwasha asubuhi na baada ya about 2mins silence inarudi kawaida. Je ni tatizo au kawaida?
Kiongozi hiyo ni kawaida kabisa!
Wakuu kuna hii kitu, gari kuwa "silence" juu kila ukiwasha asubuhi na baada ya about 2mins silence inarudi kawaida. Je ni tatizo au kawaida?
ABS inapokuwa katika ubora wake hufanya kazi popote! Lakini hilo la barabara ya vumbi kutofanya Nazi vizuri linahitaji utafiti zaidi kuliko majibu ya kubahatisha
Nakubaliana na wewe mkuu ila horse power zinatofautiana kati ya 6 na 4. Pia 4 cylinder YAHAMA waliongezea ujuzi pale na kuifanya 3S engine zilizofungwa kwenye altezza zote za RS200 kuwa more powerful and sport handling
Gari nzuri ina speed ni ngumu ulaji wa mafuta ni mzuri kwa maana ya kwamba ukizingatia kanunuliwa za kuendesha automatic ina nafasi kubwa ndani (sio kwa ajili ya kufanyia matusi lakini)
Weaknesses zake ni kwamba inahitaji utunzaji na bei iko juu si chini ya m30
Kwakweli sidhani kama hapa kwetu tuna wataalam wa hiyo kitu ila najua Nairobi ipo, kinachoangaliwa ni pressure, sensor na wiring kama hakuna malfunctions, ndo maana huwa unakuta kuna baadhi ya magari ikitokea mizinga airbags hazifunguki
Makampuni makubwa kama Toyota Nissan nk nafikiri wanaweza kuwa na hiyo mitambo