Shukrani maana kuna fundi ameniambia kuchek engine kwa computer nimpe 50 daahh tutalizwa sana tusiojua asante kwa Uzi huuHakuna shida yoyote ndio inatakiwa iwe hivyo na taa itakayoendelea kuwaka ndio itakupa tahadhari ya tatizo husika
Mkuu upo sahihi kabisa. Kuna jamaa alizidisha oil kwenye gari aina ya terios kid, alipoendesha umbali flani oil ikamwagikia juu ya turbo.Madhara yapo makubwa tuu mkuu.
Usitumie.hivyo fanya mpango uipunguze.
Kwanza inaweza kuharibu seal mbali mbali za kwenye engine.inaweza fumua seal na hata kuludisha au pandisha oil kwenye mainford na kama gari ya turbo unaweza ua,haribu turbo
Shukrani maana kuna fundi ameniambia kuchek engine kwa computer nimpe 50 daahh tutalizwa sana tusiojua asante kwa Uzi huu
Mkuu uongo wangu ni upi?Acha uongo mkuu kama hujui bora kukaa kimyaa kuliko ukaongea na kusababisha hasara kwa mwomba ushauri
Daahh mko vizur sana jamaa ndinga yangu mmeniagizia pia safi kazi nzurAsalam aleikhum /bwana yesu asifiwe /namaste brother & sisters.
Jina langu renyo msuya, kutoka Autocom Japan Inc,
Wauzaji wa magari mazuri kutoka Japan, kwa bei nafuu sana na ya kitanzania kwa ubora wa hali ya juu sana.
Agiza gari lako na Autocom ufurahie Thamani ya gari lako,
Karibuni katika branch offisi yetu iliyopo Quality center shopping mall, Mtava along nyerere/Pugu Road.
Contact 0677-174-806
WhatsApp 0767-328-063
Email :msuya@autocj.co.jp
Websites :autocj.co.jp
Karibu Sana mkuu, siku ingine, well always deliver Quality.Daahh mko vizur sana jamaa ndinga yangu mmeniagizia pia safi kazi nzur
Jaribu kuchomoa hicho kiwaya harafu angalia kama hiyo taa itawaka kama utachomoa na taa itazimika inamaana hiyo switch ya mlangoni ndio yenye shidaJamani naombeni msaada,nina gari toyota issis ,kunasiku nilibeba watoto wa shule,nilipo wafikisha nikafungua mlango ule wakufungua automatic,sasa wale watoto walivyotoka nikafunga kumbe begi la mtoto lilikuwa mlangoni,mlango ukagoma kujifunga nikalazimisha kuna kiwaya kipo kwenye mlango kika chomoka nika jaribu kukirudishia kikaingiamango ukafunga sasa tangia hapo taa ya mlango inawaka tu sijui nifanyeje wakuu naombeni msaada wenu wajuvi
Subaru Forester new model (kuanzia mwaka 2008), je zina madhaifu gani (upatikanaji wa spea, ulaji mafuta) ukilinganisha na zile model za nyuma? Any technical problem! Msaada please.
Sorry kwangu zote hizi ni new model kwani sizijui vemaNaomba kujua kuhusu mazda tribute, zina matatizo gani, upatikanaji wa spare, gharama za spare na ulaji wa mafuta.
Kwani hii gari imekufa nini? Mbn engine zake zipo tu bila hata kupiga modification yeyote. Imekufa turbo au?Msaada naweza funga injini gani ya toyota?View attachment 529779View attachment 529780
Mkuu acha hiyo kitu unayotaka kufanya ni kuharibu gari zaidi utaanza kuchomea chomea drive shaft mounting n.k hivyo gari linakuwa kama toroli mm gari ambayo ishafanyiwa hivyo nikiendrsha speed kubwa sana ni 60 au 70 maana nimajanga makubwa mda wote.Msaada naweza funga injini gani ya toyota?View attachment 529779View attachment 529780
Tribute ninayo, spare ni mtihani ingawa unaweza tumia mda mref sana bila shida. Mafuta ziko kama gar zingine kwa size yake inapiga km7 lita moja. Kama unanunua jiandae hayoNaomba kujua kuhusu mazda tribute, zina matatizo gani, upatikanaji wa spare, gharama za spare na ulaji wa mafuta.
LEGE bei ya injini ya pajero gdi mswaki na nzima yaweza kuwa kiasi gani kwa huko Dar?Ni kweli mkuu fundi yupo sahihi.
Kwanza nianze kukulaumu na kuseme huo ni uzembe wa hali ya juu sana .
Kwa upande wangu hapo najua kitu ambacho kimeharibika ni valve lazima zitakuwa zimepinda ndio maana gari ina miss sana na hiyo pesa usilalamike wala sio nyingi kama ni jumla kwa kazi zote pamoja na garama ya kifundi.ina maana hapo lazima ufungue cyrinder head ubadili valve zilizo pinda,ubadili valve seal,cyrinder head gaskate,na kuifanyia service kbs.
Au kama vipi kanunue engine nyingine mswaki kama laki 7 au 8 hivi weka hapo..
Maana gx100 huwa inakuwa na kamiss flani hivi kanakera sana.hutokana na valve.