HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Wasalam wataalamu, kwanza nikiri mimi sio mtaalamu wa gari kabisa zaid ya kuwasha na kuendesha tu. Nimepaki gari then nikampa funguo mshikaji, sasa kazungusha stearing baadae kutaka kuwasha gar haiwaki na hata funguo hazizunguki kabisa, yaani ni kama stearing imeji lock.
Naombeni msaada wataalam nini kimesababisha na je niite fundi kabisa?
Naombeni msaada wataalam nini kimesababisha na je niite fundi kabisa?