Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Kwanini Kiongozi?Aisee gari nyingi za kikorea zinataka handle with care
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Kiongozi?Aisee gari nyingi za kikorea zinataka handle with care
Mmh sidhani kama ni kweliMsaada wenu gari timing belt ilikatika nikaivuta mpaka mjini sasa nimebadili hiyo timing belt gari imewaka ina misi ya hatari kabisa sasa hawa mafundi wananiambia itakuwa imeharibu vitu vingi sana kwenye engine maana ilipo nizimikia nilijaribu kuiwasha sasa fundi anasema ndio nilifanya makosa hapo sasa amenitajia vitu vingi Mimi sio fundi sivijui ghalama yake anasema inafika 500000 na gari ni cresta gx100 vvti
Nitafute njoo hapa Mwenge jirani na Dispensary ya Mwenge litapona usiogope call 0712115220 ukifika.Msaada wenu gari timing belt ilikatika nikaivuta mpaka mjini sasa nimebadili hiyo timing belt gari imewaka ina misi ya hatari kabisa sasa hawa mafundi wananiambia itakuwa imeharibu vitu vingi sana kwenye engine maana ilipo nizimikia nilijaribu kuiwasha sasa fundi anasema ndio nilifanya makosa hapo sasa amenitajia vitu vingi Mimi sio fundi sivijui ghalama yake anasema inafika 500000 na gari ni cresta gx100 vvti
Nitafute njoo hapa Mwenge jirani na Dispensary ya Mwenge litapona usiogope call 0712115220 ukifika.
Ni kweli mkuu fundi yupo sahihi.Msaada wenu gari timing belt ilikatika nikaivuta mpaka mjini sasa nimebadili hiyo timing belt gari imewaka ina misi ya hatari kabisa sasa hawa mafundi wananiambia itakuwa imeharibu vitu vingi sana kwenye engine maana ilipo nizimikia nilijaribu kuiwasha sasa fundi anasema ndio nilifanya makosa hapo sasa amenitajia vitu vingi Mimi sio fundi sivijui ghalama yake anasema inafika 500000 na gari ni cresta gx100 vvti
Safari ndefu hiyo unayoizungumzia ni kutoka wapi mpaka wapi mkuu.Swali kwann spacious new model zikienda safar ndefu uchemka?nini cha kufanya kuzuia tatizo hilo?
Mkuu hembu nyoosha maelezo basi yaliyo nyooka ni sawa na kumwambia dr naumwa.au najisikia vibaya.Gari imeleta mushikeli kadri ninavyokanyaga accelerator ile gear box inapiga kelele kama vyuma vinapigana, awali iliwekwa ATF isiyo sahihi, baada ya kuiweka ATF sahihi mlio wa kelele umepungua kiasi lakini bado nahitaji msaada zaidi kujua nini kimeathirika na inatibikaje. Msaada tafadhali wandugu
Asante ndugu kwa ushauri mzuri mpaka sasa bado sijafanya maamuzi maana kunamajukumu yamenibana keshokutwa jumamosi ndio nitafanya kazi hiyo nitafungua cylinder head niangalie kama zimepinda na kufanya maamuzi ya kununua engine nyingine ama kulekebisha huku kwetu geita engine hizo zinauzwa 13000000Ni kweli mkuu fundi yupo sahihi.
Kwanza nianze kukulaumu na kuseme huo ni uzembe wa hali ya juu sana .
Kwa upande wangu hapo najua kitu ambacho kimeharibika ni valve lazima zitakuwa zimepinda ndio maana gari ina miss sana na hiyo pesa usilalamike wala sio nyingi kama ni jumla kwa kazi zote pamoja na garama ya kifundi.ina maana hapo lazima ufungue cyrinder head ubadili valve zilizo pinda,ubadili valve seal,cyrinder head gaskate,na kuifanyia service kbs.
Au kama vipi kanunue engine nyingine mswaki kama laki 7 au 8 hivi weka hapo..
Maana gx100 huwa inakuwa na kamiss flani hivi kanakera sana.hutokana na valve.
Nakushauri ukiwa tayari , fanya kazi na huyo mdau LEGE pamoja na kuwa na uhakika na matengenezo based on ushauri wake, pia utakuwa umemuunga mkono kwenye futari/ mkate.Asante ndugu kwa ushauri mzuri mpaka sasa bado sijafanya maamuzi maana kunamajukumu yamenibana keshokutwa jumamosi ndio nitafanya kazi hiyo nitafungua cylinder head niangalie kama zimepinda na kufanya maamuzi ya kununua engine nyingine ama kulekebisha huku kwetu geita engine hizo zinauzwa 13000000
Asante sana ndugu bdoNakushauri ukiwa tayari , fanya kazi na huyo mdau LEGE pamoja na kuwa na uhakika na matengenezo based on ushauri wake, pia utakuwa umemuunga mkono kwenye futari/ mkate.
Hiyo gharama ni complete ya 1.3 nahisi itakuwa, umeaambia na bwana LEGE nunua mswaki,nilivyoelewa ni engine isiyo na makandokando yake mfano.stering power, self,alternator n.k huko kanda ya ziwa ni maarufu kama half engine, nakushauri kanunue half engine ni almost 7.5 k.Asante ndugu kwa ushauri mzuri mpaka sasa bado sijafanya maamuzi maana kunamajukumu yamenibana keshokutwa jumamosi ndio nitafanya kazi hiyo nitafungua cylinder head niangalie kama zimepinda na kufanya maamuzi ya kununua engine nyingine ama kulekebisha huku kwetu geita engine hizo zinauzwa 13000000
Asante sana ndugu kesho ndio nitafanya zoezi Hilo nashukuru kwa ushauri mzuriHiyo gharama ni complete ya 1.3 nahisi itakuwa, umeaambia na bwana LEGE nunua mswaki,nilivyoelewa ni engine isiyo na makandokando yake mfano.stering power, self,alternator n.k huko kanda ya ziwa ni maarufu kama half engine, nakushauri kanunue half engine ni almost 7.5 k.