Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #5,221
Maelezo mazuri kabisaMkuu ukitembelea baadhi ya page za huu uzi watu wamefanya uchambuzi wa hizo taa na maana zake. Ila kulingana na rangi, blue na kijani hazina shida zikiwaka, orange sijui ile kama ya ABS na Tyre pressure maana yake kuna malfunction sehemu ila still unaezaendesha. Nyekundu ndio don't even move kama vile ya oil na check engine, mkanda etc.
Ndio maana ukiwasha gari linajifanyia self diagnosis kwa sekunde chache ambapo taa zote zinawaka na kama gari lipo vizuri zitazima ila kama kuna shida zipo ambazo zitaendelea kuwaka.