Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu ukitembelea baadhi ya page za huu uzi watu wamefanya uchambuzi wa hizo taa na maana zake. Ila kulingana na rangi, blue na kijani hazina shida zikiwaka, orange sijui ile kama ya ABS na Tyre pressure maana yake kuna malfunction sehemu ila still unaezaendesha. Nyekundu ndio don't even move kama vile ya oil na check engine, mkanda etc.
Ndio maana ukiwasha gari linajifanyia self diagnosis kwa sekunde chache ambapo taa zote zinawaka na kama gari lipo vizuri zitazima ila kama kuna shida zipo ambazo zitaendelea kuwaka.
Maelezo mazuri kabisa
 
LEGE na wengine msaada kwenye pulley ya engine gari ni BMW
IMG-20170508-WA0021.jpeg
model
IMG-20170508-WA0032.jpg
 
Mkuu hembu nicall ipo hiyo au ngoja nicheki namba zako nakupigia.ishu kama hizi mkuu tywe tunachekiana hewani some times huwa mda wakuingia huku ni hafifu sana
Simu ilipata shida kubwa ndugu yangu ikafuta kila kitu gari iko grounded siku ya nne sasa
 
Kingine kwa GARI za auto over drive INA kuwa on kama ile taaa ikiwaka au ikiwa imezima kwenye dashboard
 
Hello, nna shida na check engine kwenye gari, inawaka mda wote hata ukiwa umewasha gari,
Mafundi walisema sensor wamebadili lakini bado, naambiwa tupeleke temeke kucheki kwenye computer Elf 50 checking tu! Ni sahii au napigwa?
Wenye ujuzi tatizo la check engine kuwaka hutokana na nini?

Gari ni Vits ya 1999
 
Ulishawahi kubadili timing belt? Check hill kwanza!
Kwa kawaida timing belt genuine hubadilishwa kila baada ya km laki moja na ikichoka warning yake ni hiyo check engine...
 
Hello, nna shida na check engine kwenye gari, inawaka mda wote hata ukiwa umewasha gari,
Mafundi walisema sensor wamebadili lakini bado, naambiwa tupeleke temeke kucheki kwenye computer Elf 50 checking tu! Ni sahii au napigwa?
Wenye ujuzi tatizo la check engine kuwaka hutokana na nini?

Gari ni Vits ya 1999
Njoo nayo mwenge mm nitakuchekia buree tatizo nitakwambia ila ukitaka nikulekebishie au kama utahitaji spea hapo tutakubaliana garama.
 
Njoo nayo mwenge mm nitakuchekia buree tatizo nitakwambia ila ukitaka nikulekebishie au kama utahitaji spea hapo tutakubaliana garama.
Pm mkuu,Thank you in advance
 
Back
Top Bottom