Hazibadiliki kwakuwa kinachosoma ni tyre kupitia mfumo wa gearboxWakuu nataka kujua hivi gari ukibadili engine itasoma kilometa zilezile za Mwanzo au italeta kilometa za engine uweka
Nina maana hii kilometa za gari zinasomwa kwenye engine au zinasomwa sehemu nyingine tofauti na engine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nduguHazibadiliki kwakuwa kinachosoma ni tyre kupitia mfumo wa gearbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba adm wa kundi hili aniunge tafadhali.Kuna jamaa wana kundi lao la whatsapp wanimiki wa Gari aina yA Honda. Ni muhimu kujuana ili kupeana uzoefu.
Wakuu habari za humu ndani..
Naombeni kujua kama kuna madhara yeyote kama engine oil itazid yani kuvuka kili kidot cha juu cha kwenye stick
Wakuu naomba ushauri,
nataka kununua BMW 3 series, maneno ya watu yanatisha gharama kumantain pia ni ndoa huwez kuuza.....
Kwa uzoefu wenu imekaaje hii?
Asante mkuuSidhani kama kuna gari linakuja na shida moja kwa moja, eti kisa tu labda ni toleo fulani au ni brand fulani.
Uimara na ubora wa gari ni matunzo yako mwenyewe tu. Kama upo rafu hata uwe na Land Rover 109 utakuja tu kusema zina shida fulani.
Cha msingi fuata masharti yaloainishwa na gari husika.
Sio gari unapeleka kwa mafundi uchwara na kila kona lina fundi.
Au Oil inatumika hadi inatoka kama maji ya jaruba za mpunga! Au waweka oil uchwara. Kwa mfano: kwanini watu wanasema Nissan xtrail ni mbovu? Oil (Magumashi)+ATF (Magumshi)+Mafundi feki= lazima useme gari bovu.
Kimsingi VW ni gari zuri kama nawe utakuwa na nidhamu nalo kwa kufuata miongozo yake na kukiuka miiko.
LEGE bei ya injini ya pajero gdi mswaki na nzima yaweza kuwa kiasi gani kwa huko Dar?
wakuu naombeni msaada Gari yangu Subaru forestar Jana imeanza kutoa mvumo flani hiv kufuatilia nkagundua ni kwenye tairi nkapiga jeki nakawa nalichezesha tairi likawa linacheza cheza, tatizo litakuwa ni nini?
kuna jamaa yangu alikuwa na gari rav4 ina engene ya D4 ilimzingua akaamua kubadili na kuweka engene ya 3S, gari imekataa kukaa silance tatizo linaweza kuwa nini na afanyeje manake hiyo gari hata kuuzika imegoma.
Inauzwaje kiongoziMkuu kwa ushauri nunua injini ya suzuki. SJ14 na gear box yake ibandike humo ktk hio pajero utasahau mkuu na wala haihitaji madifkeshen makubwa kivile tofaut ya kuzisogeza engine mounting na geabox mounting pia na kukata propela
Engine za pajeri GDI zinasumbua saana yaani ktk mitubishi hapo ndo mjapan alichapia ktk hizo injin
Safi kabisa mkuu!!Nimetengeza website maalum ya kuuza magari kwa ufasaha zaidi, icheki hapa Bongo Cars | Home
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nina swali hapa. Hivi hakuna namna ya kujua kama timing belt inakaribia kukatika au kama inahitaji kubadilishwa?Msaada wenu gari timing belt ilikatika nikaivuta mpaka mjini sasa nimebadili hiyo timing belt gari imewaka ina misi ya hatari kabisa sasa hawa mafundi wananiambia itakuwa imeharibu vitu vingi sana kwenye engine maana ilipo nizimikia nilijaribu kuiwasha sasa fundi anasema ndio nilifanya makosa hapo sasa amenitajia vitu vingi Mimi sio fundi sivijui ghalama yake anasema inafika 500000 na gari ni cresta gx100 vvti
Timing belt wakati mwingine naona kama kuna ujinga mjapan alifanya! Hasa ukiangalia suala la kutaka kupunguza uzito kwenye engine. Timing belt kwa macho utaiangalia utaona mpyaaaaaaa! Ila siku mbili mbele inakatika. Bora angebakia na Timing Chain tu mtu unasahau.Wakuu nina swali hapa. Hivi hakuna namna ya kujua kama timing belt inakaribia kukatika au kama inahitaji kubadilishwa?
Kwa nini timing belt ikatike gafla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Timing belt ikichoka kwenye dashboard inatoa maandishi T-belt hapo ujue muda wowote inakatikaWakuu nina swali hapa. Hivi hakuna namna ya kujua kama timing belt inakaribia kukatika au kama inahitaji kubadilishwa?
Kwa nini timing belt ikatike gafla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu. Nitajuaje kama taa ya timing belt ni nzima? Mfano kama hiyo taa ilisha haribika ina maana haiwezekani kujua kama timing belt inahitaji kubadilishwa!!Timing belt ikichoka kwenye dashboard inatoa maandishi T-belt hapo ujue muda wowote inakatika
Nashukuru mkuu. Sasa sina mashaka. Mie nadili na dashboard yangu tu. Natumai haitanikatikia bila kunionyesha kwenye dashboard.Timing belt light imesetiwa automatically kuwaka ile odometer ikifika kilometre 100,000..200,000...300,000 ..etc yaani ina life span ya kutembea kilomita laki moja tu zaidi ya hapo unatafuta majanga ..ukishabadilisha kuna namna fundi anafanya kuizima taa..