Kalamzuvendi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2009
- 639
- 735
Mkuu heshima mbele.
Hizi Airbags zinapoundwa na kufungwa toka kiwandani kwenye gari husika zinakuwa zinaishi kwa muda wote wa maisha ya gari hiyo mpaka pale inapotokea ajali kubwa ambayo itasababisha airbag itoke.
Airbag inapotoka kutokana na ajali ya gari basi huwa inabadilishwa na mafundi wenye ujuzi na magari yaliyopata ajali.
Naona tuendelee na darsa.
Mkuu Richard somo lako sijalielewa. Una maana gari zinapopata ajali kuna mafundi maalum huja kuzitengeneza tena zile Airbag?....au? Hebu nifafanulie hapo kamanda.
Hata kwenye magari yetu yote tunayotumia ndio hizo hizo slim5
Hivi wadau magari yenye left-hand na sheria zetu za barabarani ts hopeful zinakinzana is dat corect then nahisi ni rahisi mwendeshaji kusababisha ajali mara kwa mara au mnasemaje wandugu?
Afteral nina nissan old fashion short-chases nalo ni left-hand aiseh natafuta mteja mwenye nia to make an offer ni PM couse i actual aint lyk lefthand
Wakuu naomba kuuliza,hivi ni mtandao gani bora Wa kununua Magar kutoka Japan?kuna deal Mmoja mtandao wao unajulikana kama www.shineiinternational.co.jp kuna yeyote anawafahamu?nikitaka ku verify nafanyeje?nisije kupigwa mchanga Wa machoni.

Mfano wake unapoamka asubuhi unajisikia mwili kuchoka lakini kadiri dkk zinavyojongea unapata nguvu,samewise kwa gari so worry out
Mkuu heshima mbele.
Hizi Airbags zinapoundwa na kufungwa toka kiwandani kwenye gari husika zinakuwa zinaishi kwa muda wote wa maisha ya gari hiyo mpaka pale inapotokea ajali kubwa ambayo itasababisha airbag itoke.
Airbag inapotoka kutokana na ajali ya gari basi huwa inabadilishwa na mafundi wenye ujuzi na magari yaliyopata ajali.
Naona tuendelee na darsa.
Kanuni za kuendesha automatic ni zipi?
Mkuu heshima mbele.
Hizi Airbags zinapoundwa na kufungwa toka kiwandani kwenye gari husika zinakuwa zinaishi kwa muda wote wa maisha ya gari hiyo mpaka pale inapotokea ajali kubwa ambayo itasababisha airbag itoke.
Airbag inapotoka kutokana na ajali ya gari basi huwa inabadilishwa na mafundi wenye ujuzi na magari yaliyopata ajali.
Naona tuendelee na darsa.
Hivi wadau magari yenye left-hand na sheria zetu za barabarani ts hopeful zinakinzana is dat corect then nahisi ni rahisi mwendeshaji kusababisha ajali mara kwa mara au mnasemaje wandugu?
Afteral nina nissan old fashion short-chases nalo ni left-hand aiseh natafuta mteja mwenye nia to make an offer ni PM couse i actual aint lyk lefthand
Kuna fault kwenye airbags
Nini cha kufanya hapo Mkuu! Nilipomweleza fundi hilo tatizo aliishia kuchomoa ile bulb kwenye dashboard isiendelee kuwaka. Is this right?
Hahahaaaaa ndio mafundi wetu hao kama gari haijawahi kupata ajali kafanye diagnosis ya airbag kwa vyovyote kuna shida ya umeme au sensors
Sbt wapo poa sana. www.sbtjapan.com hawa jamaa wapo vizuri sana ktk customer care na pia hata ubora wa magari yao ni mzuri..
Jamani nataka kuagiza Altezza sasa nataka ya 4c siyo ya 6c nazitofautishaje na je ipi ni nzuri ya 4c au ya 6c maana nasikia ya 6c ni balaa inakata wese vibaya
kiipwi cha ngoghwe sidhani kama zipo Altezza 4S na kama zipo ulaji wake waweza uwe hautofautiani sana na 6S
ANGALIZO:
Unaweza ukawa na gari 6S na ikatumia mafuta vizuri zaidi kuliko mwenye 4S! Hii ni kutokana na uendeshaji, kwa mfano unatoka shekilango kuelekea mjini unajua kabisa ukifika big brother lazima upunguze mwendo lakini mtu anaivuta mpaka spidi 80 halafu akifika big anapunguza mpaka spidi 30 then anavuta tena akifika tiptop anapunguza tena huo ni uharibifu was mafuta, kwa jinsi hiyo utakuwa unapoteza mafuta mengi bila sababu
Vilevile hata safari ndefu ongeza mafuta taratibu na jitahidi kucontrol spidi yani kama una hakika kipande fulani hakina kupunguza mwendo ongeza mwendo taratibu mpaka spidi uitakayo kisha nenda nayo hiyo mpaka utakapotaka kupunguza punguza taratibu pia
Ukiwa mtu wa kupanda na kushuka yani mara umevuta toka spidi 80 mpaka 120 mara ukashuka ghafla mpaka 70 kisha mara ukavuta tena mpaka 120, 30, 40 nk kisha ukashuka ghafla utaisoma
Mwisho uendeshaji wa mjini ni ghali mno kwa mafuta kwakuwa break ni kila dakika