Kalamzuvendi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2009
- 639
- 735
Mkuu heshima mbele.
Hizi Airbags zinapoundwa na kufungwa toka kiwandani kwenye gari husika zinakuwa zinaishi kwa muda wote wa maisha ya gari hiyo mpaka pale inapotokea ajali kubwa ambayo itasababisha airbag itoke.
Airbag inapotoka kutokana na ajali ya gari basi huwa inabadilishwa na mafundi wenye ujuzi na magari yaliyopata ajali.
Naona tuendelee na darsa.
Mkuu Richard somo lako sijalielewa. Una maana gari zinapopata ajali kuna mafundi maalum huja kuzitengeneza tena zile Airbag?....au? Hebu nifafanulie hapo kamanda.