Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Niwe mkweli kwenye hili hizi gari sina uzoefu nazo kabisa

Jr[emoji769]
 
Habari GTs,Je, naweza kujua mtu anamiliki gari aina gani kwa kutumia TIN No tu?Na kama ndio,naomba msaada plz kwa namba hii, 105-680-732,Asanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ofisi ya TRA iliyokaribu utasaidiwa...
Hata ukitaka kutrack information za previous since inakuwa registered utapata...
Hapa utakuwa unacheza kamari....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda TRA investigation department

Jr[emoji769]
 
Hizo ni maarufu sana South na China hapa kwetu sio kivile

Jr[emoji769]
Okay mkuu...naomba nikuulize kitu....
hivi kuagiza magari UK hasa Autotrader unaonaje kwa kwa ujumla mana naona magari yao mengi sana yametembea miles nyingi..
na izo miles ukija kuzileta kwenye KMs ..mengi yanachezea kwenye 200,000kms tofauti na ya Be Foward mileage zake sio kubwa sana...hii imekaaje mana inanipaga ukakasi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Audi A4 vp Mkuu any ideas???

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na magari hayo..utalipaki soon..gari za kijerumani ( Audi, M/Benz, BMW ) zina body ngumu sana ukiona imesimama makini kweli utasema ni mpya kabisa kumbe imeshagonga 600,000km. Oil filter tu lazima uagize Dubai/ SA..utaalam wa kuzitengeneza hapa Tz ni 10% tu. Chukua mjapan ulale usingizi mkuu.
 
Haha Mkuu mbona unanitisha Mkuu...
Vp ila nasikia spea zake japo bei ghali kakini nasikia ukifunga original nasikia unaweza kukaa miaka usinunue spea...
Unasemaje kuhusu ilo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, naomba uzoefu kwa alowahi kununua gari toka japan na kampuni ya autocom japan. Nataka kupata ufaham kama hawana longolongo na utapeli na ucheleweshaji wa mzigo. Nawasilisha
Mkuu swali lako ulijibiwa?
 
Oy Wakuu naombeni mwenye kujua tofauti ya European cars za kuagiza Japan na zile za Autotrader ama Singapore...
kwa mana ya Autotrader na Singapore yanaonekana mazuri halafu kama yanang'aa like brand new ila ya Be forward sio km ya auto...
Sema sasa uko Autotrader magari yao mengi yametembea miles nyingi ambazo ukija kuziconvert kwny kms unachezea Kms kama laki mbili hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…