Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu hio njia Mbona ndefu hakuna ya Calculation
Na je nitembee mpaka taa iwake au Gari lizime kabisa
Gari isizime bali mshale uwe chini kabisa , kwenye magari kuna manual shida ni lugha, hasa hizi za kijapan, njia nyingine ni kuingia mtandaoni
 
Mkuu hio njia Mbona ndefu hakuna ya Calculation
Na je nitembee mpaka taa iwake au Gari lizime kabisa
Njia fupi ni km upo Dar weka full tank pale Ubungo kisha nenda hadi Chalinze au Morogoro...
Ukifika mwisho wa Safari ingia sheli weka full tank..
Lita utakazo weka ili means ndo mafuta uliyotumia...
Then chukua umbali gawanya kwa hizo lita
Note: Dar- Chalinze 108Km
Dar- Moro 193km

Utapata wastani wa utumiaji mafuta wa Gari lako...
 

Nijuavyo kawaida Gari kama halijazima Basi kunakuwa na Rezev ya amafuta zingine mpaka lita Tano
Sasa je Kwa hapo hesabu itakuwa sawa

Na je vipi juu ya ile nadharia kwamba Gari ikisafiri ( ikitembea Mwendo mrefu) inakula mafuta vzr tofaut na mizunguko ya kawaida Town
 
Ni kweli
Sababu gari inatumia Gear ndo muda mrefu...
Hapa town gari hazimalizi gear so muda mwingi inatumia gear kubwa...
 
Set kilometers zile ODO, weka full tank tumia mpaka yaishe kabisa piga hesabu gawanya kilometers kwa idadi ya lita
Muda mwingine ulaji wa mafuta kwa gari unategemeana na dereva mwenyewe, ukanyagaji wa mafuta(rpm). Kwa gar za automatic ni vzuri usilazimishe gari ku accerate haraka.. Gari inaweza kwenda mpaka spidi mia kwa rpm bila kuvuka tatu, hio ni ukiachana na specs za engine.
 
Wadau nahitaji kupata msaada wa fundi mzuri wa CVT gear box..nipo dsm, kigamboni, namba yangu (0719058458) nina vitz new modal yenye injini 2SZ-FE, yenye CVT gear box, ( gear selector ina P, R, N, D, B) sasa hii gari nimepatwa na tabu kwenye transmission system, na limeanza baada ya kubadili transmission fluid. Gari inatumia transmission fluid aina ya CVT-TC, wakat wa kufanya service nilikuta fundi kaisha fanya kazi kamaliza nkaja kulichukua na kuondoka, nimetembea km 1600 nkaanza kuona gafla gari inakua inishiwa nguvu, unashangaa injini inaunguluma kwa nguvu ila mwendo mdogo na gia zinashndwa kupanda kwenda 3, mpaka 4, au inaishia gia numba 1, ila ukiweka reverse gari inarudi nyuma poa, ila mbele majanga.. Katika kutafuta tatizo, nkagundua fundi aliweka ATF transmission fluid badala ya CVT-TC, ndo nkabidi ni flush oil yote ya gia box.. Fungua sampl, toa filter pamoja na chesi, vyote vikasafishwa. Ila baada ya kuflush nkaweka fluid original ya gari (cvt-tc) but maajabu bado gari imeendelea na ugonjwa uleule wa kushindwa kushift gear smoothly and with power... Wadau kuna anaweza nipa way foward? Ntafutah kupata solution...
 
Pole sana,nimewahi kukumbwa na tatizo hilo na halijapata mtaalamu,Gari huwa siitumii sana na nimekuwa na mawazo ya kununua gearbox nyingine.
 
Mkuu pole sana..shida ya mafundi wetu.
CVT inachukua miaka kubadili.
Hapo jiandae kuingia Dukani.
 
Mkuu pole sana..shida ya mafundi wetu.
CVT inachukua miaka kubadili.
Hapo jiandae kuingia Dukani.
Mkuu nimekwenda pale ilala, bei ya gia box ya gari hyo naambiwa 700, 000-800, 000 mkajiuliza vitz ndo inaweza kua na gia box yenye bei kubwa kiasi hki?
 
Pole sana,nimewahi kukumbwa na tatizo hilo na halijapata mtaalamu,Gari huwa siitumii sana na nimekuwa na mawazo ya kununua gearbox nyingine.
Ina sumbuaje mkuu?? Nawewe ni cvt? Gear haziingii? Au haina nguvu kabisa?
 
Mkuu hivi condenser ya AC ya gari inayovujwa inaweza zibwa?au ndio lazima iwe replaced kwa kununua mpya?
 
Habarini...
Ikiwa manufacture ameshauri utumie engine oil ya aina fulani kwa gari fulani..(mfano toyota succeed imependekezwa 15w30)je huwa haijalishi gari itatumika katika mazingira gani na hali ya hewa gani?
Maana usije ukakuta hizi oil ni kwa ajili ya hali ya hewa ya kule ilipotengenezwa gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…