Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nimefanya hvyo but no response zaidi ya kushtuka kama mlio fulan hv kwenye injini
 
Habari wanajanvi, naomba kupata contact ya Maduka ya wanayouza Japan spare parts za injini! Nahitaji spare kwa ajili ya kufanyia service injini ya ghari yangu!Niko Tabora so ningependa nijue bei za hzo spare kwa ajili ya kuagiza
 
Gari gani

Spare parts za Engine aina ya 2L
Kama Vile Cylinder Head, Ring, Main& Con. Cylinder Gaskets, Timing belt,
 
Wakuuu gari yangu ina shida ya kuzima engine wakati nashuka kwenye mteremko, huku nimeweka neutral gear (Gar ni automatic)
Je shida n nn...?
 
Wakuuu gari yangu ina shida ya kuzima engine wakati nashuka kwenye mteremko, huku nimeweka neutral gear (Gar ni automatic)
Je shida n nn...?
Kamwe usweke N wakati gari iko kwenye mtelemko au ikiwa inatembea. Unaondoa mawasiliano kati ya engine na gear box na ni hatari kwako hasa kwenye mteremko.
 
ok, sasa naanzia wap kusolve ishu hii..
Hii shda kwenye mfumo inasababishwa na nn

ok, sasa naanzia wap kusolve ishu hii..
Hii shda kwenye mfumo inasababishwa na nn
Ni gari ya aina gani!? Unatumia mafuta ya kidumu mara kwa mara? Unatembelea mafuta kidogo muda mrefu? Kwa ushauri mpate fundi mahiri mjuzi
 
Ni gari ya aina gani!? Unatumia mafuta ya kidumu mara kwa mara? Unatembelea mafuta kidogo muda mrefu? Kwa ushauri mpate fundi mahiri mjuzi
Gari ni IST
Sitembelei mafuta kdogo mda mrefu
Situmii mafuta yq vidumu hqta mara moja
Najazaga mafuta ya Campun yq Gapco mara nyng.
 
Mmoja atupie hapa kanuni inayotumika kukokotoa jumla ya kodi linalotozwa gari lililoagizwa toka nje. Kuna watu hununua magari Kwa bei rahisi lakini kanuni ya tra haitumii bei uliyonunulia kukokotoa kodi Bali bei ya gari hilo likiwa jipya na kuondoa uchakavu! Hapo ndipo wengi hulizwa! MTU ananunua shangingi Kali Kwa $6000 halafu likifika hapa anaambiwa likiwa jipya ni tsh 250,000,000/=, ukiondoa uchakavu wa 80% linabaki na thamani ya sh 50,000,000/=! Kodi ya gari uchakavu inakwenda hadi 80%! Hapo MTU anajikuta amenyosha mikono juu!
 
Hapa naomba niwaalike hawa wadau
CC : RRONDO, LEGE etc
Mshana Jr naomba unisaidie na wadau wengine tatizo la gari langu ukiconnect switch ya temperature gari linachemsha na ukidisconect hiyo switch gari linakuwa normali yaani feni zinakuwa ni direct,nimejaribu kubadilisha water pump lkn bado shida ipo tu,naomba msaada jamani
 
Jamanii wakubwa naomba nielekezwe bei ya oil ya gear box Nissan tiida CVT fluid NS-2 bei gani inauzwa kuna fundi kaniambia laki na nusu ni kweli?
 
Wakuuu gari yangu ina shida ya kuzima engine wakati nashuka kwenye mteremko, huku nimeweka neutral gear (Gar ni automatic)
Je shida n nn...?
Maelezo yako hayajajitosheleza hapo kuna matatizo sehem mbili inawezekana.

Swali je unaposhuka mteremko usipoweka N gari haizimiki ukiweka D unashuka fresh?? Kama jibu ni ndio basi gari haina shida ya umeme.

Kama ukiweka D bado gari inazimika basi hapo kuna shida katika mfumo wa magufa na kitu kinachosababisha kwenye tank ndani huwa kuna kuwa kama kuna kiconterner au kibox kinachohifadhi mafuta ili yasitawanyike kitakuwa na shida.
 
Back
Top Bottom