Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Nipo mdau Pilika nyingi sana mshana jr, huu uzi nimebak nasonga nao tu,japo sina gari ila hapa nimepata mwanga wa nini cha kuangalia wakati wa kununua gari,unapokua na gari.Mkoroshokigoli mekumic ujue wewe
Hapana hili la airbag kuhitaji service nilipo pata Nagasaki Japan kwa mtaalam wa airbags! Ni sawa na gari unatakiwa kufanya service baada ya kilometres fulani usipofanya hakuna tatizo lakini performance na lifespan ya gari inapungua ndio hivyo hivyo kwa airbags!
Binafsi nimeshakutana na kesi zaidi ya sita za head collition na airbags hazikufunguka na kwenye kesi zote hizo ilikuwa ni gari za 1995-1999s
BTW kubadilisha airbag pekee kwenye steering na dashboard bila kubadili sensors/ control box ni kazi bure kwakuwa kinachosense mshindo/impact ni sensors zilizopo kwenye control box na steering
Msaada wana jamvi gari yangu raum old model nikiendesha sehemu ya muinuko speed inapungua
Asante sana GeeM
waungwana niko njiani naenda mwanza natoka Moro nina GX 100,imebadili mlio na sasa nasikua kama mruzi hivi,itakuwa nn hiki?chonde usiku ndo huu niendelee na safaru?
Et gar zuur la kidada na imara na tuseme kadogo ni lipi na hw much
Kwa nini wabongo tunanunua migari ya kufanana wote? Rav 4 namba1, ist mmmh kero kila gari 5 basi 2ist. Tatizo ni nini?
Ist preferable