Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Naomba kuuliza tena wakuu, ni Sina gani ya betri nzuri na ya bei nafuu?
 
Wakuu naomba ushauri kati toyota fortuner na toyota vanguard ipi ninzuri kwauimara na utumiaji wa mafuta maana hizi gari huwa nazipenda sana
 
Kwa ushauri wangu vanguard iko poa
 
Hii gari Leo inashindwa kuingia gia ya nyuma!
Nikiweka R nikikanyaga moto inaunguruma tu.
 
Habari za muda wakuu, naomba kuuliza tena. Kuna jamaa yangu gari yake mark 2 grande, ina tatizo la kutetemeka sterling japo sio kila wakati. He yaweza kuwa ni nini?
 
Plugs most likely

Back
Top Bottom