Daah pole sana mkuu na waziri anasema eti sababu ya kupandisha ada hio ni
' Dr.Mpango amesema kuwa kodi hiyo imepanda ili kuhuisha viwango vinavyopendekezwa kulingana na thamani halisi ya fedha nchini'.
Sababu ya hovyo tu na wala sijaelewa hata alichokisema.
Kama vipi achana nayo tu mkuu maana kila baada ya miaka 3 kutoa 10mil ni pesa ndefu hio mkuu.
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.
sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 (japo kwa sababu ya ubovu wa barabara na umri wa gari) hata ikienda 10km/litre sio mbaya.)
Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.
Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate
sasa ndugu zangun naombeni USHAURI WENU NAMNA YA KUTATUA HII CHANGAMOTO au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa dar.
ASANTENI.
Kingine... Je umepata historia ya gari kabla hujainunua?Hello members habari

hapana mkuuHello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kingine... Je umepata historia ya gari kabla hujainunua?
HapanaStabilizer links umebadili? Bush na engine mounting je?
PoaHebu cheki hasa engine mounting
sawaJaribu kufuatilia
Dah nilipitiwa.. Subiri