Wakuu hv kuna uwezekano wa kuinstall push kwenye subaru impreza ya 2008? Ina keyless entry ila nahitaji na push to start niende na wakat zaid
Naomba kujuzwa kama inawezekana na haitaathiri mifumo mingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahlan wasahlan wamarhaba ndugu mshanaHaiwezekani kuathiri mifumo mingine pata fundi wiring mzuri too View attachment 1320036View attachment 1320037
Jr[emoji769]
Mkuu uendeshaji pia unachangiaNina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8. Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.
habari wakuu! nina tatizo la timing belt kukata mara kwa mara kwenye gari yangu Toyota noah sr40 naombeni ushauri wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
haijawahi kupata ajali nafunga timing og ila hata safar ndefu naogopa kwenda nayoMmh timing belt? Unafunga genuine? Gari ina historia ya ajali?
Jr[emoji769]
haijawahi kupata ajali nafunga timing og ila hata safar ndefu naogopa kwenda nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
ni timing beltNadhani kuna shida kwenye ufungaji lakini je ni timing belt au ni fan belt?
Jr[emoji769]
Nina gari yeye injini hii, na nilipoinunua, baada ya muda mfupi nikaanza kuona changamoto kama hizo. Kuna siku nili overtake na ikachelewa kuchanganya, kidogo tugongane uso kwa uso na daladala. Kuchelewa kuchanganya, kuwa nzito ukibeba watu/mzigo mzito na kuishiwa nguvu kilimani, changamoto ilikuwa ni fuel pump. Baada ya kuibadili, nikipanda kilima na 50, nitamaliza na 50.Habari Wadau! Nina gari Aina ya premio engine 1zz Ina tatizo la kukosa nguvu mlimani na kuchelewa kuchanganya hata kuovertake Ni shida, ukikanyaga mafuta inatoa mlio kama wa kuchomea kwa gesi. Mara nyingi huwa inapaki hata mwezi bila kutembea , nimebadilisha spark plugs imebadilika kidogo lakn Bado haifurahishi hasa huo mlio kama mtu anachomea kwa gesi. Wadau shida itakuwa nn msaada .
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Wadau! Nina gari Aina ya premio engine 1zz Ina tatizo la kukosa nguvu mlimani na kuchelewa kuchanganya hata kuovertake Ni shida, ukikanyaga mafuta inatoa mlio kama wa kuchomea kwa gesi. Mara nyingi huwa inapaki hata mwezi bila kutembea , nimebadilisha spark plugs imebadilika kidogo lakn Bado haifurahishi hasa huo mlio kama mtu anachomea kwa gesi. Wadau shida itakuwa nn msaada .
Sent using Jamii Forums mobile app
MAGARI BAY TZMagari Bay | The Largest Car Market Place | Soko La Magari Tanzania
Buy and Sell Cars In Tanzania In Magari Bay Tz.Car dealers, Importers And Individual Sellers We Provide a Huge Reach of Used Car Buyers.www.magaribay.com
Soko Kuubwa La Magari Tanzania. Tutembelee Upate gari ya ndoto yako.
Mambo zote Kali zipo HUMO