Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Haiwezekani kuathiri mifumo mingine pata fundi wiring mzuri too
Wakuu hv kuna uwezekano wa kuinstall push kwenye subaru impreza ya 2008? Ina keyless entry ila nahitaji na push to start niende na wakat zaid
Naomba kujuzwa kama inawezekana na haitaathiri mifumo mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200111-204032.jpeg
Screenshot_20200111-203906.jpeg

Jr[emoji769]
 
Nina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8. Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.
Mkuu uendeshaji pia unachangia
 
Ninj shida pale gari inakuwa inatoa mshindo unaposhift gear kutoka P hadi R au D? Unasikia mshindo mkubwa 'ndiii! Kina unaposhift hizo gera
 
Booster ya upepo inavunja na gearbox mounting imekufa
Ninj shida pale gari inakuwa inatoa mshindo unaposhift gear kutoka P hadi R au D? Unasikia mshindo mkubwa 'ndiii! Kina unaposhift hizo gera

Jr[emoji769]
 
Habari Wadau! Nina gari Aina ya premio engine 1zz Ina tatizo la kukosa nguvu mlimani na kuchelewa kuchanganya hata kuovertake Ni shida, ukikanyaga mafuta inatoa mlio kama wa kuchomea kwa gesi. Mara nyingi huwa inapaki hata mwezi bila kutembea , nimebadilisha spark plugs imebadilika kidogo lakn Bado haifurahishi hasa huo mlio kama mtu anachomea kwa gesi. Wadau shida itakuwa nn msaada .

Nina gari yeye injini hii, na nilipoinunua, baada ya muda mfupi nikaanza kuona changamoto kama hizo. Kuna siku nili overtake na ikachelewa kuchanganya, kidogo tugongane uso kwa uso na daladala. Kuchelewa kuchanganya, kuwa nzito ukibeba watu/mzigo mzito na kuishiwa nguvu kilimani, changamoto ilikuwa ni fuel pump. Baada ya kuibadili, nikipanda kilima na 50, nitamaliza na 50.
 
Gearbox umeifanyia service,?

Back
Top Bottom