Na sio sheria kwamba unatakiwa kubadilisha oil kila baada ya km 10,000 swala la oil unatakiwa ubadilishe angalau kati ya km 5000-7000 kama umeweka synthetic na genuine oil filter au kubadilisha kati ya km 1000-2500 kama umeweka mineral oil hii itakusaidia kuweka kuilinda engine yako na ikaweza kudumu kwa mda mrefu zaidi, pia unashauliwa kumwaga oil na kuweka mpya pindi tu ukigundua oil level yako iko chini to the minimum point na hapa ndio wengi huwa wanakosea badala ya kumwaga na kuweka mpya yeye anaongezea tu kwa kufanya hivyo unazidi kuharibu engine yako badala ya kuitibu kwani unachokiongeza kinaenda kufanya kazi ndogo sana mle ndani
Nimalizie kwa kusema tu sababu za kubadilisha oil na kuweka mpya ziko kadhaa ila kwangu angalau
01 badili oil yako kati ya km 5000-7000 kama umeweka synthetic oil na genuine oil filter na km 1000-2500 kama umeweka mineral oil
02 badili oil yako kama imepungua hadi kufikia hatua ya minimum, tukalibishe wengine wenye uelewa mpana zaidi wa oil na vilainish