Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu hizi airbag zinafanyiwaje service?

Hili litakuwa jambo muhimu.

Na ningependa kujua life span yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu me Nina Toyota Altezza. Na huwa ninaweka oil Total kila baada ya km 3000. Unadhani hii iko poa au niongeze km?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua toka kwa wazoefu wa haya magari, ingawa yako tofauti sana ila kama kuchagua ipi ni choice nzuri, Nissan Dualis au Subaru Forester (model za kuanzia 2008). Kitu au kigezo kikubwa ni reliability na maintenance.
 
Siko sure sana na hizi gari but Nakushauri opt Nissan
Naomba kujua toka kwa wazoefu wa haya magari, ingawa yako tofauti sana ila kama kuchagua ipi ni choice nzuri, Nissan Dualis au Subaru Forester (model za kuanzia 2008). Kitu au kigezo kikubwa ni reliability na maintenance.

Jr[emoji769]
 
Unajuaje? Je temperature gauge inapanda au gari inachemsha?

Jr[emoji769]
Nimejua kwa kufungua boneti inakua ya moto had stick ya kupimia oil inakua ya moto,ila temperature haipand wala haichemsh ila kila asubuh lazma niongeze maji

K vant
 
Hizi ndio mada za wababe wamjini sio Mambo ya kula kimasihara [emoji1787]

Mwali wangu akifika siku nitakuwa mdau humu permanent Kuna elimu ya kutosha sana

Heko Uncle mshanajr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani msaada Nina mpango WA kununua japo usafiri wa piki piki aidha Honda xl 125/honda ace x CB 125 nauliza kwa aina za Honda vp Ni nzuri kwa matumizi kwa barabara ngumu Na za milimani???je inafaa kwa mizigo appr 100kg??je spare zake zinapatikana kwa urahisi...hata kwenye nayo kwa biashara karibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…