Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mimi kwa uzoefu wangu altezza nyingi 4 cylinder zinasumbua sana engine lakini ukipata 6 cylinders iko poa na kuhusu mafuta sio kweli kama inakula sana

Na kwa taarifa fupi tu Altezza yenye 4 cylinders inakula wese kuliko Yenye 6 cylinders.

Yenye 4 (3S-GE ) inazalisha HP 200&Torque 210Nm) wkt ya 6(1G-FE) inazalisha (HP 160&Torque 200Nm)
 
Mkuu nimeka oil genuine cha kushangaza gari kurudi reverse inasumbua na zinaingia via mbili tu za mwanzo.Boss hapa nianzie wapi?
Gearbox ya kufanyia service mkuu chujio lake limejaa tope huvyi hydraulic haipiti vizuri kuingia kwenye gearing system
 
Bei gan hii
FB_IMG_1580688267154.jpg
 
Wakuu, castrol ATF DEX II inafaa kwa Suzuki Escudo ya 2006?
 
Mambo vp wakuu nahitaji msaada ya agency wa Bima ambapo naweza kata kwa miezi mitatu
 
Back
Top Bottom