Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Imekaa kiufundi zaidi hii nimeipenda
 
Mkuu Miela hii imekaa kitaalam zaidi~asante sana
 
Mkuu naomba ushauri kuhusu pajero GDI io kuna MTU anataka aniuzie coz anashida so nataka kujua ubora na udhaifu wake...
 
Mkuu Escudo yako ulaji wake Wa mafuta ukoje?
 
Mkuu mshana nataka kuagiza noah used from Japan but sina sana experience na noah specifications so naomba ushauri from model fuel consumption my budget is around $3000
 
Mkuu mshana nataka kuagiza noah used from Japan but sina sana experience na noah specifications so naomba ushauri from model fuel consumption my budget is around $3000

Nafikiri Noah mpaka kukaa barabarani inahitaji m9 kama ukiagiza mwenyewe, na kwa ushauri agiza Field tourer ni ngumu na ni four wheel, fuel consumption ni ya kawaida lakini sometimes pia inategemea na uendeshaji wa mtu, au vile vile unaweza kuagiza Hiace regius imekaa kama Noah na ni diesel
 
Mkuu naomba ushauri kuhusu pajero GDI io kuna MTU anataka aniuzie coz anashida so nataka kujua ubora na udhaifu wake...
Kaka ugonjwa wa moyo huo, kukuambia ana shida ni njia ya kukupumbaza
 
Nashukur sana kaka kwa ushauri pia ni kampuni gani nzuri kuagizia
 
Kaka ugonjwa wa moyo huo, kukuambia ana shida ni njia ya kukupumbaza

Umeniacha njia panda mkuu ugonjwa Wa moyo kivipi? ni vizuri ungetoa specs zake ukionesha strengths na weaknesses zake
 
Kawaida 1lt/12km ni manual so huwa inavary kutegemeana na uendeshaj na quality ya mafuta niliyoweka wakati husika,ni 2000cc

Hv kati ya hizi categories za petrolium; unleaded,premium na super ni aina ipi ni mazuri kuweka ktk gari. Yenye ubora/quality zaidi.?!
 
Hv kati ya hizi categories za petrolium; unleaded,premium na super ni aina ipi ni mazuri kuweka ktk gari. Yenye ubora/quality zaidi.?!

Mi weledi wangu kwenye matengenezo ya engine zaidi ila ninachojua Premium ni aina ambayo ina kiwango cha juu ya octane hivo ni mafuta premium kama yanavojieleza Yaani yamechujwa vizuri kutoka hali ya kuwa ghafi plus chemistry nyingine humo ndani ya mchakato na kwa kawaida inapaswa kuwa bei juu sema hapa bongo hao vituo wanatupigaga bosheni tu kujifanya ni premium kumbe wunya tu!
Hata hivo kiwango cha octane ndo kinadetermine ubora kwa kadri kiwango kinavokuwa juu ndo ubora zaidi wa fuel mkuu nadhani super ndo ina rate ya chini ya octane,shida ni kwamba hata huwezi jua unawekewa mafuta yepi ila yenye kiwango cha juu cha hiyo octane yanasaidia pafomans nzuri ya injini hata uwakaji wake ni wa haraka both ndani ya injini hata yakiwa exposed kwenye moto huku nje,mi always hujaza puma rarely total nahisi they're more professional kuzidi wengine na matokeo ya mafuta Yao naona yanafanya vizuri kwangu tofauti na nikijaza kwingineko,hayo tu mkuu.
 
mshana mpm mod aipin hii thread aisee inatangatanga kuipata huku kwenye android
 
Last edited by a moderator:

Ahsante mkuu. Kuna rafiki angu aliniambiaga kuwa mazuri ni unleaded,na ndio most yanayojazwa ktk vituo vya puma. Nitaanza kuzingatia aina za mafuta na petrol station za kujaza mafuta,na sio kujaza mafuta ovyo ovyo ktk petrol station.
 
Yeah utaratibu mzuri uwe na vituo unavyoviamini kwa hapa Tz puma na total mi nawa-rate nafuu hawa wengine wasiwasi wengine wanasema victoria pia sio wachakachuaji
 
mshana mpm mod aipin hii thread aisee inatangatanga kuipata huku kwenye android

Nafikiri tayari iko sticky! Binafsi ufahamu wangu kuhusu magari umeongezeka maradufu, nafuatilia kila post kwa makini mno na kwakweli wachangiaji wengi wamekuwa serious kwenye kutaka kufahamu hili au lile na vilevile wale wenye ufahamu nao wamekuwa na weledi na upendo mkuu kushare kile wengine wasichokijua
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…