Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hello...
Natafuta nembo ya Carina Si ya nyuma...yangu imevunjika...kama kuna mtu anayo au anfahamu mahali ninapoweza kuipata na bei yake tuwasiliane...
 
Nina Suzuki Escudo old.Changamoto zake.

-RPM 4500 lakini speed 60

-Gari Ni nzito na haikamati silence.

-Mafuta km 5 kwa lots

-Mafundi wanasema engine oil ni tatizo,na gear box oil pia.Naomba mnaomiliki gari hizi mnisaidie pa kuanzia,gari ni automatic.
 
Nahitaji Vitz New Model Number D au C cc 990 Anayeuza au Anayemfahamu muuzaji tafadhali nijulishe ASAP kupitia pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…