Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Bado ni gari ngeni Tanzania na zinakimbiliwa na wengi.. Sijapata malalamiko bado
Duallis nyingi wanaziua gearbox kwakuweka wrong transmission fluid... Ilà ukiweka recommended transmission fluid gear box inakaa... Pia umeme mwingi so ikizingua tu can-bus network ni rahis kupata shida
 
Nissan hapo ndio wengi wanashindwa kuzipatia
 
Ni kwanini gari huwa zinavuja oil kwenye cylinder head gasket. Hupiti mwaka lazima uweke gasket maker mpya niji tatizo

Wewe utakuwa unazungumzia Cylinder head top cover gasket...

Solution ya kosolve hilo tatizo siyo kupaka gasket marker.

Hiyo Rubber ya kufunga hapo huwa inauzwa, unafunga unasahau tatizo lako.
 
Wazee samahani gari la automatic limekataa kurudi reverse mwenye uzoef naomba anisaidie,au ambaye alishawah kukutana na hii changamoto
Tatizo limeanzia sehem ambapo samp imeguswa kidg na jiwe
 
Wazee samahani gari la automatic limekataa kurudi reverse mwenye uzoef naomba anisaidie,au ambaye alishawah kukutana na hii changamoto
Tatizo limeanzia sehem ambapo samp imeguswa kidg na jiwe
Umecheki hydraulic haijanwagika? Haijavuja?
 
Habari wataalam. Aisee nlikuwa nataman sana honda cross road ila nlifanya utafiti usiorasm naona hizi gari sio nyingi kwa watu na nimegundua ni ndoa ya kikristo. Nikahamia kwenye gr inayofanana na hiyo ambayo ni rumion. Gari hii naona ni gari ndogo hivo ni very economical sana kwa safari ndefu na hata round za mtaan. N pia naziona zimenunuliwa sana na watu
 
Back
Top Bottom