new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Duallis nyingi wanaziua gearbox kwakuweka wrong transmission fluid... Ilà ukiweka recommended transmission fluid gear box inakaa... Pia umeme mwingi so ikizingua tu can-bus network ni rahis kupata shidaBado ni gari ngeni Tanzania na zinakimbiliwa na wengi.. Sijapata malalamiko bado
Nissan hapo ndio wengi wanashindwa kuzipatiaDuallis nyingi wanaziua gearbox kwakuweka wrong transmission fluid... Ilà ukiweka recommended transmission fluid gear box inakaa... Pia umeme mwingi so ikizingua tu can-bus network ni rahis kupata shida
Una maanisha top cover seal au head gasket? Maana head gaskets inazibwaje na maker mkuu??Ni kwanini gari huwa zinavuja oil kwenye cylinder head gasket. Hupiti mwaka lazima uweke gasket maker mpya niji tatizo
Ni kwanini gari huwa zinavuja oil kwenye cylinder head gasket. Hupiti mwaka lazima uweke gasket maker mpya niji tatizo
Toyota premio kakaYa gari gani?
Wazee samahani gari la automatic limekataa kurudi reverse mwenye uzoef naomba anisaidie,au ambaye alishawah kukutana na hii changamoto
Tatizo limeanzia sehem ambapo samp imeguswa kidg na jiwe.
Umecheki hydraulic haijanwagika? Haijavuja?Wazee samahani gari la automatic limekataa kurudi reverse mwenye uzoef naomba anisaidie,au ambaye alishawah kukutana na hii changamoto
Tatizo limeanzia sehem ambapo samp imeguswa kidg na jiwe
Yeah imebonyeaImebonyea?
Haijavuja kiongozi sema imebonyea,tumejaribu kunyoosha sehemu iliyobonyea ila bado reverse haikubalUmecheki hydraulic haijanwagika? Haijavuja?
...UKE MOYO wa gearbox?![emoji16][emoji44]Uke moyo wa gear box umeshapata damage upande wa reverse
Ushauri hapo,nifanye nini hasa cha haraka maana ni hiace ya biasharaTyping error[emoji23]