Aaamen pole na hongera sanaNimebadili geabox na kuweka ya manual kwenye hiace,nimeweka vifaa nyote original yaan used japan gharama yake ni 2200000 pamoja na fundi dahh.
Huo ulkuwa ni mrejesho kuhusu ushauri nilikuwa naomba hapa.
Nashukuru sana brother kwa kunitia moyo,baada ya kubadil gear box taa ya check engine inawaka,mafundi wansema hamna shida kwa sabab gar n vvti inatumia umeme sana ndo maana imeshindwa kutambua gear box ya manua but gari inafanya kazi vizuri saa hiv!Pole kwa gharama, but hongera kwa kiweka reliable transmission with minimal repair costs... Na ni transmission inayotengenezeka, pia ni fuel efficient.. so hutojutia investment yako unless uwe na dereva reckless.
Nashukuru kiongozi!Aaamen pole na hongera sana
Lazima iwake maana the way gari ilivokua designed ilikua ni auto.. so control box (ECU) is not getting any inputs from transmission module to alter engine output parameters...Nashukuru sana brother kwa kunitia moyo,baada ya kubadil gear box taa ya check engine inawaka,mafundi wansema hamna shida kwa sabab gar n vvti inatumia umeme sana ndo maana imeshindwa kutambua gear box ya manua but gari inafanya kazi vizuri saa hiv!
Nashukuru sana kiongozi,nimepata mwanga mkubwa sana kwa maelezo yako hapa,bila shaka wewe ni expert wa magari kwa haya maelezo.Nakushukuru tena kwa mda wakoLazima iwake maana the way gari ilivokua designed ilikua ni auto.. so control box (ECU) is not getting any inputs from transmission module to alter engine output parameters...
Ie Ecu haipata taarifa ya gearbox ipo katika gear namba ngapi, je gear shifter ipo katika position gani;; je parking? Reverse? Drive? Neutral? So kwakua hizi inputs zote hazipo so calibration za injini zinakua out of range matokeo yake inawasha check injini..
NB: taa ya check engine haiwaki kwa hizo sababu walizokupa mafundi wako bali ni kwasababu nilizo kuambia.. (kumbuka gari ilikua ni automatic na control box unayotumia ni ile iliyokuja na hiyo injini so gari ilikua programed kufanya kazi kama automatic and not manual) na automatic car inatumia sensor mbalimbali kuifanya control box ichague appropriate gear ratio..mfano kuna throttle position sensor, engine rpm, speed mfano gari automatic ikifika speed zaidi ya 15km/h lazima control box i-command gear box iende gear ya pili.ili kupunguza rpm ya injini.sasa kwakua imechange to manual, ECU inakosa feedback kila inapo ona speed ni kubwa na ina command gear shifting but no feedback from solenoid responsible for shifting to second gear,so ECU ikiona hizi variations in operation,check injini ina illuminate (waka) but haitakua na shida sana, endelea piga kazi mkuu.
Hiyo ni software iko kwenye chip/card..badili weka ya kiingereza kwakuwa iliyopo haina option lugha nyingiNaomba Msaada kubadilisha Lugha kwenye Dashboard kutoka Kijapani kuja kiingereza
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Clip/card naipataje mkuu naomba ufafanuzi zaidiHiyo ni software iko kwenye chip/card..badili weka ya kiingereza kwakuwa iliyopo haina option lugha nyingi