Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea na Isanga family yeye mtu wa magarinya Sauz na kule ndo kwenyewe wa hizo mamboMsaada wadau wa Jukwa hili, naomba kujua wapi naweza kupata carrier kama hii kwa hapa Tanzania.
Ongea na Isanga family yeye mtu wa magarinya Sauz na kule ndo kwenyewe wa hizo mam
Mkuu hizo zipo Kariakoo utapata nipo SA za huku utapata ila bei juu tofauti na hizo za Kariakoo..Mkuu Isanga family njoo unisaidie huku
Kaka china tena? Kariakoo siwezi pata kama alivyo shauri Isanga family ?Hii agiza China
Nimejaribu kuwasiliana na baadhi ya wauzaji wamesema hawana. kwa hizo za SA bei yake ipoje?Mkuu hizo zipo Kariakoo utapata nipo SA za huku utapata ila bei juu tofauti na hizo za Kariakoo..
Ngoja ntauliza unataka kuweka kwenye gari gani?Nimejaribu kuwasiliana na baadhi ya wauzaji wamesema hawana. kwa hizo za SA bei yake ipoje?
Mini CooperNgoja ntauliza unataka kuweka kwenye gari gani?
Toyota probox, kama hiyo hapo kwenye videoNgoja ntauliza unataka kuweka kwenye gari gani?
Pole sana engine za Voxy usijaribu kuzitengeneza utaliwa pesa mpaka utachakaa na haitakaa ikae sawa.. Ikizingua badilisha engine yoteMsaada wakuu
nina noah voxy engine 1az fse. Inakula mafuta sana na haina nguvu. Kwa kuwa mi ni mgeni wa magari mafundi wamekuwa wakipiga ramli na kuninunulisha vitu vingi vya gharama na shida imeendelea kuwepo.
Fundi wa kwanza aliniambia ni cylinderhead tukafungua engine nzima ikafanyiwa overhaul, kusaga valve na kuosha carbon. Shida ikaendelea kuwa vile vile ulaji wa mafuta, gari haina nguvu, na check engine light inawaka.
Fundi wa pili Nikabadilisha oxygen sensor pia, pump ya mafuta, fuel pressure pump(D4). Break tukalegeza lakini Tatizo likaendelea vile vile.
Fundi wa tatu tukabadilisha fuel pump ya kwenye tank, fuel pressure pump(D4), Driver injector, Nozzles zote na bomba lake, MAF sensors lakini bado gari haina nguvu na ina misfiring na check engine light inawaka.
Jana nikaita fundi akaifanyia diagnosis na computer ikaleta code P0172 na Code P1349. Naomba msaada wa utatuzi wa tatizo langu. Nianzie wapi ?
Pole kwa changamoto hiyo, lakini kwa kuzingatia vipimo vya kompyuta na historia ya matengenezo, tuangalie mambo kwa mpangilio wa kitaalam ili kutopoteza muda na pesa zaidi. Tafsiri ya error codes ulizotaja ni msingi mzuri wa kuanza.Msaada wakuu