kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Jamani taratibu na baadhi ya ushauri mtauwa watu bure na presha,wengine ndo kwanza gari zipo baharini zinakuja mnataka wafe sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwenu wana jf
Naomba ushauri, mwezi may nataka kuagiza gari aina ya Toyota cami ama Daihatsu Terios,hivyo kabla ya kuagiza naomba wadau wenye kujua ubora au.udhaifu wa gari hiz. Na ipi ni bora kati ya aina hizo za magari kwan zinafanana sana kwa muonekano.
Msaada plz
Jamani taratibu na baadhi ya ushauri mtauwa watu bure na presha,wengine ndo kwanza gari zipo baharini zinakuja mnataka wafe sasa
Vipi kuhusu kazi yake nayo amedanganya pia au?Umetudanganya maana ya ABS na wewe.
ABS (Anti lock brake system)
ABS inatakiwa iwe on muda wote au inakuaje, si pale kwa juu ya dash huwa kuna sign ya ABSMkuu gulf umemshauri vizuri apeleke gari kwa fundi...ila.ABS maana yake ni Anti Lock Breaking System. Ukifunga brake kwa ghafla inazuia locking ya matairi au kujifunga kwa matairi yakaacha kuzunguka.. hivyo kuzuia skidding na pia kumpa dereva uwezo wa kumudu gari kwenye mazingira hatarishi ya kufunga brake gafla. Mfumo huo, unapunguza umbali wa braking ijapokuwa kwa mazingira mengine kama kwen snow umbali unaongezeka ila dereva analimudu gari.
Kuna hasara gani gari ukiipandisha kuondoa kama kiko chini sana
Heshima kwenu wana jf
Naomba ushauri, mwezi may nataka kuagiza gari aina ya Toyota cami ama Daihatsu Terios,hivyo kabla ya kuagiza naomba wadau wenye kujua ubora au.udhaifu wa gari hiz. Na ipi ni bora kati ya aina hizo za magari kwan zinafanana sana kwa muonekano.
Msaada plz
Ngoja nikiingia kwenye gari nitarudi baadae baada ya kupata practical experienceIkiwa ON ni tahadhari ya fault kwenye system ya brake
Mkuu labda ungeweka gharama zote ikiwa ni pamoja na road licence, insurance, registration ili ajue kbs total cost na ajiandae. Nimesema hvy coz unaonekana so exprienced kwenye hili itatusaidia na wengine hasa ukizingatia JF ni jungu kuu.Ushuru andaa ml 6.5-7 bandarini laki 3 shipping line $ 85 wakala maelewano lakini si chini ya laki 2.
Mkuu labda ungeweka gharama zote ikiwa ni pamoja na road licence, insurance, registration ili ajue kbs total cost na ajiandae. Nimesema hvy coz unaonekana so exprienced kwenye hili itatusaidia na wengine hasa ukizingatia JF ni jungu kuu.
Asante.