Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Asante mkuu,kwa elimu.
 
Ninagari aina ya passo nikiwa naiwasha asubuhi tu inatetemeka sana tatizo ninini ila baada ya muda inaacha na pia kana piston 3 nifanyeje ndugu
 
Gari yeyote unapoiwasha mzunguko wa engine huwa mkubwa kwahiyo kama vitu kama plugs vina shida hushindwa kuhimili ile kasi lakini baada ya hapo hukaa sawa hebu cheki hizo plugs
 
Ok ila ni gari mpya kabisa niliagiza japan pia niyamwaka 20011
 
Sawa mkuu,na vip original zinapatikana wapi na bei yake?na swali kidogo mkuu kuna mtu anataka kuniuzia nissani navara anasema inatatizo la pump na nikimuuliza cc ngapi hasemi je tatizo la pump unalionaje kwa hizogari na ni cc ngapi
 
Gari matawi sana iyo sema angerekebisha kwanza hiyo pump aunulizia kabisa maduka ya spea maana itakuwa kidogo ghali hasa magari ya Nissan ila ni gari ya ukweli hasa kama itakuwa hizi mayai
 
Brevs jamaa anaiuza kutoka tanga to dsm anakula wese mara 3 ni hatari kwamaisha ya mtanzania
 
Sawa mkuu,na vip original zinapatikana wapi na bei yake?na swali kidogo mkuu kuna mtu anataka kuniuzia nissani navara anasema inatatizo la pump na nikimuuliza cc ngapi hasemi je tatizo la pump unalionaje kwa hizogari na ni cc ngapi

Mmh Nissan Navara sikushauri ndugu yangu kwa nia njema kabisa
 
Sawa mkuu,na vip original zinapatikana wapi na bei yake?na swali kidogo mkuu kuna mtu anataka kuniuzia nissani navara anasema inatatizo la pump na nikimuuliza cc ngapi hasemi je tatizo la pump unalionaje kwa hizogari na ni cc ngapi

Plugs ysiende vichochoroni ambapo moja sh 3000
 
So niende wapi mkuu,ok navara miyeyusho enh

Nenda vituo vya puma engen nk Navara inataka matunzo ya hali ya juu hakuna cha being nafuu hata kimoja kwenye zile gari ila siujui mfuko wako, agiza pump Nairobi utapata kwa bei poa
 
Sikuwa nikilifahamu hili suala.Ahsante sana.
 
Mshana jr. Heshima kwako kaka. Kama nikiwa na 3.5mil. Naweza pata ka-collora 100?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…