Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kampuni gani nzuri ya kufungiwa gps system ktk gari langu, pamoja na kulifanya gari langu liwe "bandit car" nitakaloweza kulifanyia monitoring hata kwa kutumia simu yangu!

Wapo wengi tu lakini maarufu ni car track japo gharama zao ziko juu, kama sio gari ya biashara ya kipato kikubwa sikushauri
 
Private car ya kutembelea charge zao zikoje?

By then ilikuwa ni kama USD 1000 kwa mwaka sijui kwasasa, LA muhimu kuwa na COMPREHENSIVE INSURANCE, kikitokea chochote bima wanasort out
 
T

USD 1,000 it means kwa mwezi ni dola 83.30 which is equivalent to Tshs. 166,600/= ni vema niende huko mkuu, hawa bima sometimes ni majanga...! Prado yangu ya 2007 bado naipenda na ni bado mpya, ni vema niwatembelee hawa jamaa! Kuliko kulipia DSTV PREMIUM $ 90 kila mwezi ni bora nikalipe huku!
 
Duh aisee! Anyway kila la kheri mkuu, ila ngekua mm nisingeweka that expensive system for 8yrs old car! Cheers mate
 
Watumishi wa serikali hawalipi ushuru unaweza kupata utaratibu kwa mwajiri wako

Niliuliza befoward wakadai kuwa gari isiwe zaidi ya miaka 7 tangu itoke hapo unasamehewa baadhi ya kodi sio kodi yote.

Mwenye kujua atujuze vizuri.
 
Habar mkuu naomba kufahamu kuwa gari inapokuwa kiwandan(japan) ile mfano lita1km 12 hv kiwandani uwa wamepanga na matumiz ya ac au bila kutumia ac?
 
Ac haili mafuta kihivyo kiasi cha kusababisha iingizwe kwenye hayo mahesabu
 
upande wa mbele wa abiria kuna muungurumo wa kukoroma pale gari linapokuwa Linatembea...naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini...na sulihisho lake pia!
 
je kutikisika /shaking ya gari ukiwa katika speed 20-40 unasababishwa na nini??

upande wa mbele wa abiria kuna muungurumo wa kukoroma pale gari linapokuwa Linatembea...naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini...na sulihisho lake pia!

Wandugu haya maswali mawili ni too general kiasi cha kushindwa kujibika kirahisi lakini vyovyote iwavyo hizo gari zenu zina shida na ni vema kwenda kuwaona mafundi mahiri kuliko kutegemea assumption s za hapa jukwaani
 
Swali kwa wanajamvi, hivi ni aina gani ya gari used ndogo, isiozidi tsh 12million ambayo fuel consumption yake yaweza kuwa around 17km/ltre hapa dar. Budget yangu ya mwezi ni wastani nauli ni tsh 5,000 hivyo nikichukua mkopo naweza kuhudumia gari ndogo kwa lita 2 kila siku.
Note: from home to work is 30km go and return.
 
Paso ya cc 900,vitz ya cc900,suzuki kei,note,na gari yoyote isiyozidi cc 1500 hila iwe na CVT-transmission na isiwe AWD
 
Swali kwa wanajamvi, hivi ni aina gani ya gari used ndogo, isiozidi tsh 12million ambayo fuel consumption yake yaweza kuwa around 17km/ltre hapa dar. Budget yangu ya mwezi ni wastani nauli ni tsh 5,000 hivyo nikichukua mkopo naweza kuhudumia gari ndogo kwa lita 2 kila siku.
Note: from home to work is 30km go and return.

Ndugu Entim huduma kwenye gari zipo anuwai, kuna ishu ya vipuri service, usafi, ulinzi, bima, kodi mbalimbali nk usiangalie kigezo tu cha mafuta itakugharimu
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Entim huduma kwenye gari zipo anuwai, kuna ishu ya vipuri service, usafi, ulinzi, bima, kodi mbalimbali nk usiangalie kigezo tu cha mafuta itakugharimu

Sasa m nataka kununua Harrier au Mitsubishi Pajero je ni ipi iko vema ktk mambo ya utunzaji, gharama za vipuri na uendeshaji wake kwa ujumla
 
Hizo zote hazipishani sana
 
Hahaha mkuu passo haijapitwa na gari yoyote njian labda ulikua unakutana na suzuki samurai n.k lakini hapo siwezi kuamini kabisaa

Mkuu Passo sio ya kuibeza, me yangu mkoani nilikuwa natembea na kati ya 120 na 140 kph sehemu zinazoruhusu. So ni speed kubwa ambayo mabasi machache sana yanatembelea.
So jamaa anaweza kuwa sahihi though me yangu ni ile ya 1290cc
 
Back
Top Bottom