Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya milioni 16 ni chakavu zaidi ya hiyo ya milioni 24 kwa tofauti ya kilometa elfu 50...As simple as that
Mkasi!!? Una maanisha nin!?
Mkuu mshana jr kuna jamaa alinunua gari yenye kilomita 124,000 kwa ushauri wa fundi kuwa injini iko poa regardless of hizo km. Je kuna ukweli hapo?
Naomba kuuliza. Kama gari inauzwa 16M ina milege 125,000. Na nyengine kama hiyo inauzwa 24M inayo milege 75,000. Ipi ni rahisi ukizingatia milege. Naomba munisaidie mathematical formular
Naomba kujua bei ya harrier ya mwaka 1997 kwa hapa Tanzania
Bwana,bteakysnr unapo zungumzia harrir kuna aina nyingi za harrir,kuna zenye 4w driver na kuna yenye 2w driver pia zipo zenye cc 2000 na zenye cc 3000 ambazo ni V eng,bila kusahau zile ambazo ni hybrid harrir ambazo sokoni zipo juu zaidi kuliko zile za kawaida,hvyo basi fafanua ni aina gani ktk hizi una taka??
GharamaMkasi!!? Una maanisha nin!?