Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wadau kati ya suzuki swift 2005 cc1300 na passo 2005 cc990 ipi iko vizuri ???
Ungeweka picha mkuu ingekua rahisi kutoa judgement, asante
I mean ufanyaji kazi na gharama za uendeshaji
Hivi wakuu,nimewahi kusikia eti kuna mapunguzo ya ushuru kwa mtumishi wa serikali hasa walimu na madaktari,wakiagiza gari toka japan na likawa limefka bandarin. NAOMBA KUJUZWA ILI NAMI NIJITOSE
Hivi wakuu,nimewahi kusikia eti kuna mapunguzo ya ushuru kwa mtumishi wa serikali hasa walimu na madaktari,wakiagiza gari toka japan na likawa limefka bandarin. NAOMBA KUJUZWA ILI NAMI NIJITOSE
Eti wadau kati ya suzuki swift 2005 cc1300 na passo 2005 cc990 ipi iko vizuri ???
Mtumishi wa serikali anaweza kuomba tax exemption (msamaha wa kodi) kwa ajili ya kununua gari pata barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri wako nenda TRA utapewa fomu za kujaza ambazo zinajieleza hatua za kufuata
Tembelea Tabata dampo, Ilala, kariakoo, magomeni na Tandale uzuri
Shukrani mkuu,bei unaweza ku range ngapi just rough estimations please
Eti wadau kati ya suzuki swift 2005 cc1300 na passo 2005 cc990 ipi iko vizuri ???
Mkuu kiwiko mazuri kwa namna ipi? labda ungefafanua kidogo...upande wa fuel consumption ukubwa wa hizo engine unajionyesha wazi kuwa passo itakuwa na excellent fuel consumption kuliko swift. Ingawa bado hata swift ni good economically in fuel consumption
Ila kwa kuhimili vurugu za barabarani za hapa na pale na pia upatikanaji wa vipuri naona swift iko vizuri zaidi.ila ungenyumbulisha zaidi yapi iliyotaka kujua juu ya hizo gari ingekuwa smart. In brief Swift is good.