Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
nisaidieni nina gari yangu aina ya suzuki aerio kwenye dip stick ya transmission imeandikwa nitumie ATF3317 or equivalent oil ntakujuaje hiyo equivalent oil maana ATF3317 uku haipatikani msaada jamani maana kila oil ninayotumia inasumbua kubadili gear
Suzuki Aerio? Ingia kwa mtandao tu ama search kama facebook kuna group la hiyo model ya magari uone watu wanavyopeana uzoefu huko