Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 505
- 560
msaada wadau,juzi tulitoa battery ya Raum kwa ajili ya kumuashia jamaa yetu gari yake,sasa tulivyorudisha vioo vya nyuma vikawa havifunguki kwa automatic i mean ukitumia batani ya dereva haivifunguki mpaka utumie batani ya mlango wake kiufupi ni kama system ya umeme imetibuka...msaada plz
Shusha kioo cha dereva nusu alafu nenda kwenye button ya kila mlango shusha kioo mpk chin kabisa ng,ang,nia button kama sekunde tano alafu pandisha na ung,ang,anie tena button kama sekunde tano fanya hivyo kwa kila mlango then rudi kwenye power window master ya dereva ucontrol kama kawa

