Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 505
- 560
msaada wadau,juzi tulitoa battery ya Raum kwa ajili ya kumuashia jamaa yetu gari yake,sasa tulivyorudisha vioo vya nyuma vikawa havifunguki kwa automatic i mean ukitumia batani ya dereva haivifunguki mpaka utumie batani ya mlango wake kiufupi ni kama system ya umeme imetibuka...msaada plz

Shusha kioo cha dereva nusu alafu nenda kwenye button ya kila mlango shusha kioo mpk chin kabisa ng,ang,nia button kama sekunde tano alafu pandisha na ung,ang,anie tena button kama sekunde tano fanya hivyo kwa kila mlango then rudi kwenye power window master ya dereva ucontrol kama kawa

Tatizo hili linamkutaga mara kwa mara rafiki yangu kila atoapo betry la gari lake,ist ili abustiwe mana linasumbua. Kumbe hiyo ndio solution yake,nitamtonya awe anafanya hivyo.
Habari za mishughuliko wakuu?
Naombeni kupata taarifa muhimu na ushauri kuhusu Nissan Tiida. Kwenye ubora wake, utumiaji mafuta, na chochote kinachohusiana na aina hii ya gari. Natanguliza shukrani kwenu.
Ni gari bora kabisa mkuu hizi ni muendelezo wa sedan fulani zilikuwepo hapa tz japo kwa uchache zikiitwa Nissan Sunny wanazitumia sana pia wenzetu Zambia,so Tiida ni nzuri na kama upo Dar spare zinapatikana na mafundi wake wapo ni gari zilizo kwenye orodha ya kuanzia mwaka 2000 kuja huku mbele mafuta inakula kawaida kabisa kuna 1.8lt,1.6lt na 1.5lt dizeli au petroli uchaguzi wako tu....,kama umevutiwa nayo ichukue tu mkuu hata interior zake zinavutia...
...,ila jiulize utaitumia zaidi kwenye barabara zipi,
....nina dada mmoja analalamika altezza yake inakatika chini na anakaa goba matosa ndani huko nikamwambia achana nayo tafuta gari inayohimili Aina ya barabara unayopita Mara kwa mara.
Nashukuru sana mkuu. Je ina uwezo wa kuhimili barabara zote au nitakumbana na tatizo kama la huyo dada mwenye Alteza wa Goba?
Tiida is more luxurious mkuu sio off-road ila kama upo hapa Dar ichukue ingekuwa Arusha,Mbeya au Manyara na kwingineko ningekushauri otherwise just go for it mkuu
Wadau,
Juzi nimepoteza funguo ya gari yangu aina ya Fun cargo mbaya zaidi ni ile original key iliyokuwa na switch alam. nimebaki na funguo ya akiba ambayo haina switch alam mpaka sasa siwezi weka alam je nifanyaje au ndio imeshakula kwangu?
Mie nipo tandahimba, hakuna lami huku ila nimevutiwa na hiyo gari.
Vipi upatikanaji wa spares zake kwa hapa bongo?
Kama unajali kudumu kwa gari tafuta SUVz kv Rav4 nk zinafaa zaidi kwa rough road but still unaweza kuichukua but kwa uendeshaji wenye umakini,Remmy kasema kipenda roho...
Nashukuru sana kwa ushauri kiongozi, ntajitahidi kuuzingatia... ila sasa tatizo huku hizo RAV4 zimekuwa kama uniform sasa.