Mtu-Pori
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 1,296
- 1,468
Mkuu, ndugu Mshana,
Mimi naomba msaada kuhusu utoaji wa gari (used car) zile estimations za TRA, hizi si huwa kuna formula yake wanatumia? Tafadhali wakuu naomba mnisaaidie katika haya mahesabu kwani nimenunua used car kutoka japan with these specification:
C&F Dar es salaam $4,100
Ocean freight $900
Gross weight 990kg
Used vehicle Mitsubishi pajero Mini year, 2007, 0.66L Petrol
Sasa hii nikubali kulipia kiasi gani pale TRA??? (Maana pale huwa kuna overestimation za ajabu).
Shukran!
Hilo gari, kama ungelinunua kwa $3217 (custom value CIF) au chini ya hapo, basi ushuru ungelipa 4.33mil. Lakini kwakuwa CIF yake ni zaidi ya $3217, TRA watatumia hiyo CIF yako ya $4100, tegemea ongezeko kubwa tu la ushuru, huenda likazidi 1mil kwenye huo ushuru wa 4.33mil. TRA watafanya kadirio la ushuru upya kwa kutumia CIF yako na wao ndio watajua ni kiasi gani, huwezi pata hiyo details kwenye web yao. Pia ongeza kama 1mil nyingine kwa ajili ya kufanya clearance na kulipia bima ("chenji" huenda ikabaki).