Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu, ndugu Mshana,
Mimi naomba msaada kuhusu utoaji wa gari (used car) zile estimations za TRA, hizi si huwa kuna formula yake wanatumia? Tafadhali wakuu naomba mnisaaidie katika haya mahesabu kwani nimenunua used car kutoka japan with these specification:
C&F Dar es salaam $4,100
Ocean freight $900
Gross weight 990kg
Used vehicle Mitsubishi pajero Mini year, 2007, 0.66L Petrol
Sasa hii nikubali kulipia kiasi gani pale TRA??? (Maana pale huwa kuna overestimation za ajabu).
Shukran!

Hilo gari, kama ungelinunua kwa $3217 (custom value CIF) au chini ya hapo, basi ushuru ungelipa 4.33mil. Lakini kwakuwa CIF yake ni zaidi ya $3217, TRA watatumia hiyo CIF yako ya $4100, tegemea ongezeko kubwa tu la ushuru, huenda likazidi 1mil kwenye huo ushuru wa 4.33mil. TRA watafanya kadirio la ushuru upya kwa kutumia CIF yako na wao ndio watajua ni kiasi gani, huwezi pata hiyo details kwenye web yao. Pia ongeza kama 1mil nyingine kwa ajili ya kufanya clearance na kulipia bima ("chenji" huenda ikabaki).
 
mavado
Tapeli nyieeee

Una uhakika na unachoongea, au unajiskia tuuu kusema hivo, come to our office QUALITY Center, Nyerere Road (near uchumi supermarket) then unaeza sema yote unayojiskia, kwa nini watanzania twapenda kuropoka bila uthibitisho???

This is our website, www.autocj.co.jp , cheki humo then I will show u where the offisi is if ua still blind...
 
Last edited by a moderator:
Bajeti yangu inabana jamani. Naweza nunua dizaini hizo tu.Hivyo, naomba ushauri kati ya hizo gari ipi nzuri?

Asanteni.

Mambo vp mkuu, karibu Autocom Japan, office zetu zipo hapa Quality Center (ilipo uchumi supermarket) , Nyerere Road Dar es salaam. Tuko na the best price. Check out our website www.autocj.co.jp. Pia waeza nipigia kwa 0767328063. Nitakusaidia katika Hilo. Karibu sana. Autocom Japan.
 
Mmmhhh sio mwiziii huyu???

Please, karibu offisini kwetu Quality Center (ilipo uchumi supermarket), Nyerere Road. Ili kudhibitisha iwapo mimi ni mwizi au nauza used from Japan, hii ni website yetu www.autocj.co.jp. Ukijitisheleza call me on 0767328063, nitakusaidia iwapo haswa una nia ya kununua Gari nzuri. Karibu Autocom Japan.
 
Hard top haifai kabsaa kwenye rough road n balaa ni sawa na cheetah na Thomson japo hata TDI n nzuri sema kugharamikia n ghali sna haitaki shda kabsaa ukitoka safari kama 3 service lazma otherwise utaiweka juu ya mawe but hard top duh n gari nzuri na matata sna

Still Fingure just recheck your comment inakuwa kama unaongelea gari tatu kama si mimi sijaelewa ...maana unasema hard top majanga then kidogo unaisifia TDI mwishoni unasema hard top gari nzuri na matata..mkuu hebu check nisaidie nielewe vema.
Ila mie ambacho naweza sema.TDI ina starehe sana kwenye rough road kwa sababu ya independent suspension kwenye miguu yake...tofauti na land cruiser hard top ambayo nyuma na mbele inakuwa na leave springs. Na kwa suala la kudumu land cruiser ni gari ngumu sana na hata gear box yake ni imara kabisa.Pia zipo land cruiser ambazo zinakuwa na front coil spring nazo ni nzuri na za kisasa.
 
Habari ya kazi wakuu. Kuna ndugu yangu anataka kununua gari kwenye hii kampuni ya Everycar.jp. Kwa anaeijua au ameshawahi kuitumia hii kampuni ipo vipi kwenye uhakika wa uagizaji?

Nasubiri ushauri wenu.
 
Mwenye kuzijua toyota ractis vipi hizi jaman? Uimara wake na mapungufu yake. Tujuzane kabla hatujafanya maamuzi. mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Mwenye kuzijua toyota ractis vipi hizi jaman? Uimara wake na mapungufu yake. Tujuzane kabla hatujafanya maamuzi. mshana jr

So far nimeuza kama 4 mpaka sasa but bado wateja wangu hawajalalamika. So nadhani ni Gari nzuri, maana nimeziuza like 6 month back... Please check stock yetu thru www.autocj.co.jp u can also call me on 0767328063. I can help.
Offisi zetu zipo hapa Quality Center, Nyerere Road Dar es salaam.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna duka lolote lililo maalum kwa kuuza spare parts za Suzuki? Ninahitaji vifaa vya Swift
 
Anayeijua subaru forester uimara wake na consumption ya mafuta anijuze.
 
Anayeijua subaru forester uimara wake na consumption ya mafuta anijuze.

Ni Gari nzuri sana, Kuna subaru iko na mpaka cc1500, ambayo sio mbaya sana katika mafuta, shida ya subaru ni vifaa vyake vikiharibika viko very expensive lakini ukivinunua ni mkataba iwapo ni mtunzaji mzuri wa Gari, na katika tra list, subaru ni moja kati ya magari yasiyokuwa na kodi kubwa. So nunua Gari na wala usiliogope...
 
Asante sana Mavado let me go for it.
 
Please check my company website www.autocj.co.jp we have a new office in Tanzania QUALITY Center, Nyerere Road, almaarufu uchumi supermarket, Dar es salaam. Call me on 0767328063 I can help you buy quality car from Japan.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom