Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

 
 
ushauri nataka kubadili tyre za gari Rav 4 old model kwa yeyote mwenyewe uzoefu na tyre bora anitajie jina, brand name maana nowdays wachina nchi ishakuwa yao hii
 
ushauri nataka kubadili tyre za gari Rav 4 old model kwa yeyote mwenyewe uzoefu na tyre bora anitajie jina, brand name maana nowdays wachina nchi ishakuwa yao hii

Nenda Superdoll ununue Michelin au Bf Goodrich!
 
Hivi tangu niingie Dar naona magari yameandikwa STK STJ SU SM STL DFP, siku hizi naona mengine yameandikwa DFPA.. Aisee nakumbuka kipindi nasoma nimewahi kumuliza mwalimu akasema maana ya SU ni SURE UNIVERSITY.

Aisee wadau naomba mnisaidie.
 
DFp na STK nimeyasahau cz na usingizii mbka kesho ntayakumbka au wadau watakuelezeaa inshort,
 
hivi tangu niingie dar naona magari yameandikwa STK STJ SU SM STL DFP siku hizi naona mengine yameandikwa DFPA..ise nakumbuka kipindi nasoma nimewahi kumuliza mwalium akasema maana ya SU ni SURE UNIVERSITY.ise wadau naomba mnisaidie.

STK Ina Maana SIKUTAKI, STJ Ina Maana SIKUTAKI Na SIKUJUI, SU Ina Maana Gari Ya SUMU Inakuja au Inapita Hivyo Kaa Nayo Mbali, STL Ina Maana SIKUTAKI Kwakuwa Wewe Ni Lofa, DFP Ina Maana Dar es Salaam Ni Full Popoma Na DFPA Ina Maana DADA FATUMA PIGA AONDOKE.
 
lilioandikwa PLATINUM na BOSSLADY hujayaona? nayo yapo
 

h a i c h e k e s h i !!!
 

SU Shirika la umma.
DFP Donor funded project hii ni gari ambayo pesa yake ya kununua imetolewa na wafadhili na litumike kwa kazi maalum na yamepewa hii plate number ili iwe rahisi wakaguzi wa waliofadhili wakija waonyeshwe kwa urahisi jinsi pesa yao ilivyotumika.
 

Ndo hivyo hivyo hakukosea

Mmmh!!!!!!!!!!!! mmhm!

ise nawe utakuwa wale wa darasa la pili.

SU - shirika la Uma
SM - I think ni Sweet Menthol

Mi naijua hii tu.
SU-Soma Ule


lilioandikwa PLATINUM na BOSSLADY hujayaona? nayo yapo

h a i c h e k e s h i !!!

Yangu Imeshasimama Njoo Uipande!

Mjini umekuja lini?

Maana kuna thread inauliza kuhusu watu wa Dar kuwaita nyinyi wa Mikoano eti Washamba?

Nawaombeni samahani sana nyie nyote mlio comment utani ktk huu uzi,,,,someni toka mwanzo mpk hapo mlipo anzia naiman hamtakuta tabia kama zenu..huu uzi mshana jr kauanzisha ili kusaidia wenye kuhitaji msaada seriously..hayo mambo yenu yanapatika kule chitchat...samahan kama nitakua nimewakwaza
 
SU - shirika la Uma
SM - I think ni Sweet Menthol

SU- Shirika la Umma
DFP- Donor(s) Funded Project. Siku hizi wameboresha na kuwa DFPA kwa maana ni DFP tolea A
ST- Serikali ya Tanzania(toleo hukaa mbele kama STK ni Serikali ya Tanzania toleo series za herufi K)
JW- Jeshi la Wananchi( mbele yake huwekwa namba ya gari kwa idadi tangu linanunuliwa na kwa chini limeingizwa mwaka gani
SM- Serikali za Mitaa( haya hayamilikiwi na Serikali kuu kama zile STK, bali ni za TAMISEMI
MG- Magereza Tanzania
PT- Polisi Tanzania
AG- Attorney General
ST...A. Gari za Mjengoni japo sina hakika.
S- Speaker
KUB- Kiongozi wa Upinzani Bungeni
RAC- Gari za Shirika la Reli
T....CD ni gari za Mabalozi na mashirika ya Kimataifa. Rangi hutofautiana kati ya Blue na Kijani ili kutofautisha kati ya Mabalozi na Mashirika ya Kimataifa/UNO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…