Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nnaomba maelezo yahusuyo POWER TILLERS, nipo obsessed nayo kwa Sana Tu.
Nina ihitaji kwaajili ya kilimo cha mpunga huku Kyela.
Bei yake Na matumizi mf services nk.
Nawasilisha.
Naomba kuuliza kati ya Land cruiser hard top(mkonge) na Land rover Tdi 110 ipi ni bora zaidi kwa barabara mbaya za porini zenye tope na kila ugumu ambao gari ya kawaida haiwezi.Nataka kununua mojawapo kwa shughuli za kusafiri safari ndefu porini na mashambani.
Naomba mwenye uzoefu na hizi aina mbili za magari.
Chukua hardtop ndugu yangu
Hard top haifai kabsaa kwenye rough road n balaa ni sawa na cheetah na Thomson japo hata TDI n nzuri sema kugharamikia n ghali sna haitaki shda kabsaa ukitoka safari kama 3 service lazma otherwise utaiweka juu ya mawe but hard top duh n gari nzuri na matata sna
Sorry mkuu kama nimekukwaza kwa kuongea tungo tata!!nlimaanisha magari ambayo bei ghali wengi hatuwezi kumudu kuyanunua na kuhakikisha tunayahudumia!
Mkuu anaejifunza kiswahili akisoma mstari wa kwanza anaweza jua TDI ndo yenyewe kumbe umetumia lugha ya msisitizo,btw hard top ndo mpango nzima hasa zile toleo la kwanza na pili acha hizi macho ya panzi though Nazo ni nzuri, unaweza ukapiga 10 years bila kugusa engine na hapo imepiga masafa ya kutoshaHard top haifai kabsaa kwenye rough road n balaa ni sawa na cheetah na Thomson japo hata TDI n nzuri sema kugharamikia n ghali sna haitaki shda kabsaa ukitoka safari kama 3 service lazma otherwise utaiweka juu ya mawe but hard top duh n gari nzuri na matata sna
Mkuu anaejifunza kiswahili akisoma mstari wa kwanza anaweza jua TDI ndo yenyewe kumbe umetumia lugha ya msisitizo,btw hard top ndo mpango nzima hasa zile toleo la kwanza na pili acha hizi macho ya panzi though Nazo ni nzuri, unaweza ukapiga 10 years bila kugusa engine na hapo imepiga masafa ya kutosha
Huo ndo ukweli ingawa ni Mchungu. Watu wakisema jamani wenye magari ya maana wayatoe..na wewe utatoka na Spacio yako?
Na wenye Vogue, Mercedes and other relating brands wafanyaje?hauna gari una chombo cha usafiri kaka
Sorry mkuu kama nimekukwaza kwa kuongea tungo tata!!nlimaanisha magari ambayo bei ghali wengi hatuwezi kumudu kuyanunua na kuhakikisha tunayahudumia!
Hii kitu hapa ina maana gani eti?View attachment 251018
A/T power na hizo alama left & right za viti
View attachment 251019
Kwenye hii PUSH ESP OFF
Escudo 2006 Model, V6
Wakuu hakuna anaejua hii makitu? Seriously sivijui hivi na menu ni ya Kijapan
Hii ni mithili ya scania kwa gari kubwa, siku hizi mambo ya fashion yameingia mpaka kwenye magari kwahiyo toleo linapewa life span fupi ili wapate nafasi ya kutoa toleo lingineHard top 1kz ni habari nyingine kabisa, na guarantee yake ni hiyo ten years